Uuzaji pombe hovyo sasa ni hatari kwa jamii. Vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe

Uuzaji pombe hovyo sasa ni hatari kwa jamii. Vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe

Vitu ka hizo huwa hazitaki mbwembwe ukikurupuka unakata moto chap
Hizo ukizoea hamna kitu, wengine tunawaza namna ya kuanza kuchakata sanitizer maana naona zina 70.0% na zimekosa soko
 
Back
Top Bottom