Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu.
Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi utaisha kwa sababu viongozi wenyewe wa timu hizi hawatilii mkazo.
Je wale waliokamatwa Mwaka jana wamefanywa nini hamna walichofanywa ni mbwembwe za mitandaoni tu.
Selemani Sele.
Shabiki wa Yanga SC kindaki ndaki.