Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

Sio kila MTU ana 35,000/= .Hata vitenge vya Wax kuna original na wax feki. Madukani kungekuwa na bidhaa Original Tu wengine tungetembea watupu.
 
Labda kampuni silizo pewa tender zinatoa aina tatu kulingana na purchasing power ya watu maana sio kila shabiki wa yanga au simba anaweza kuafford bei ya gharama ya 35000
 
Usilinganishe jezi ya elfu saba na jezi ya elfu arobaini. Kuvaa vizuri sio show off, ni kujiheshimu na kudhihirisha kijana uko active kichwani.

Mimi sio shabiki wa mpira ila ukivaa jezi feki nakuona tapeli umeiibia timu, limbukeni wa kutaka vitu usivyomudu na mkwepa majukumu unayedai unapenda timu ila kuigharamia inavyostahili hutaki.

Shabiki mwenye nia njema anajipanga kununua jezi halisi. Yule maskini kabisa ndio angalau asamahewe ila umaskini usiendekezwe.
Wewe ndio FALA sasa
 
Hivi unafikiri nakulazimisha wewe, i am telling you my mind, ujue hivo, na 99% ya mashabiki wa mpira wanafanya hivo. Yaani duniani na ustaarabu wake , kwanini ujikaahfishe.
Sasa wewe vaa kwakusema si nimevaa niko sawa na wa 45 au laki mbili, bro hamko sawa. Labda jezi ziuzwe bei hyo.
Yaani kumbe Kuna watu mko na UFALA hivi?
 
Jezi feki ni kuanzia 100,00 mpaka 150,00 hizo wanazoota orginal ni kuanzia 350,00 Mpaka 500,00

Wakati nikitinga feki ni kama OG tu
 
Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu.

Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi utaisha kwa sababu viongozi wenyewe wa timu hizi hawatilii mkazo.

Je wale waliokamatwa Mwaka jana wamefanywa nini hamna walichofanywa ni mbwembwe za mitandaoni tu.
Selemani Sele.
Shabiki wa Yanga SC kindaki ndaki.
.... Wakipenda watengeneze na wao hizo fake maana kila moja lina soko lake...hiwezi kumvalisha wa 45k jezi fake...hivyo hivyo huwezi kumnunulisha wa jezi ya 3000 jezi ya 45,000 atakutukana
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hizi timu
Sijawahi kuona umakini wowote kupambana na jezi feki nahisi Kuna watu kwenye mfumo wao wanafaidika nazo
 
Angalieni bei ya jezi og achaneni na matambala
Screenshot_20241229_070935_Opera Mini.jpg
 
Ukiishi maisha ya show off ni yes lakini ukinunua jezi ya 7k na alonunua ya 45k halafu mkaenda taifa wote mtaonekana mmevaa jezi za simba✊🏾
Utanunuaje jes feki then ujisif8a wewe ni shabiki wa timu fulani? mbona mnakuwa wajinga sana? kwa nini lakin?
 
Back
Top Bottom