Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

Sio kila MTU ana 35,000/= .Hata vitenge vya Wax kuna original na wax feki. Madukani kungekuwa na bidhaa Original Tu wengine tungetembea watupu.
 
Labda kampuni silizo pewa tender zinatoa aina tatu kulingana na purchasing power ya watu maana sio kila shabiki wa yanga au simba anaweza kuafford bei ya gharama ya 35000
 
Wewe ndio FALA sasa
 
Yaani kumbe Kuna watu mko na UFALA hivi?
 
Jezi feki ni kuanzia 100,00 mpaka 150,00 hizo wanazoota orginal ni kuanzia 350,00 Mpaka 500,00

Wakati nikitinga feki ni kama OG tu
 
Yaani nitoke nyumbani nakwenda madukani kununua simu aina ya Tecno sijui Itel!

Siwezi afadhali hiyo.pesa nilie Kitimoto
 
.... Wakipenda watengeneze na wao hizo fake maana kila moja lina soko lake...hiwezi kumvalisha wa 45k jezi fake...hivyo hivyo huwezi kumnunulisha wa jezi ya 3000 jezi ya 45,000 atakutukana
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hizi timu
Sijawahi kuona umakini wowote kupambana na jezi feki nahisi Kuna watu kwenye mfumo wao wanafaidika nazo
 
Ukiishi maisha ya show off ni yes lakini ukinunua jezi ya 7k na alonunua ya 45k halafu mkaenda taifa wote mtaonekana mmevaa jezi za simba✊🏾
Utanunuaje jes feki then ujisif8a wewe ni shabiki wa timu fulani? mbona mnakuwa wajinga sana? kwa nini lakin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…