Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

Asi
Ukiishi maisha ya show off ni yes lakini ukinunua jezi ya 7k na alonunua ya 45k halafu mkaenda taifa wote mtaonekana mmevaa jezi za simba✊🏾
Asiishi kwa show off af wakivaa jezi zao wote WATAONEKANA.. 😰🙇🙇 msaada jamani, huyu mwamba sijaelewa maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…