Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Habari za hapa Jukwaani.

Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.

Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.

Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio ya Uhalifu na Ukabaji.

Tunaomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu. Inaoneka Polisi wa Mwanga wanahongwa ili kumlinda. Naomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu.

Nawasilisha.
 
Ndugu, ni wivu tu kwamba jamaa anauza mirungi anapata pesa yake? Mirungi inamharibu vipi mtu? Mirungi inamfanya vipi mtu akabe? Mindset za kijinga tu. Wakabaji na wezi wenu si ajabu wapo kwenye nyumba za ibada. Wacha watu wale munde na wachanje kwa raha zao hapo kijiweni. Au anakukabia soko lako la mirungi pale Stoo au Kirongwe?
 
Huyu Jamaa anachangia sana kuharibu Vijana wa Usangi hasa hasa maeneo ya Kijiweni. Mamlak zisaidie kunusuru katika hili.
Serikali imehalalisha gongo kuuzwa tena inapimwa kwa jero jero vijana tushajifia kwa pombe za kupima kama ambiance, kisungura, diamond, shimwaa, robot na majina mengine kama hayo.

Wanaouza wanazidi kutajirika na serikali inavuta kodi tu ila vijana wako chakari yani asubuhi mtu anafungua kinywa kwa kisungura cha jero ndio chai yake hiyo.
 
Acha wivu mzee nani kakudanganya mirungi inaharibu vijana?

Nenda somalia,kenya nk
 
Naomba nichukue nafasi hii kuomba Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro... Naomba kuomba Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Mwanga

Naomba namba ya Kamishna wa kupambana na Madawa ya Kulevya. Anaweza kutusaidia kupambana na hili Genge la Wauza Mirungi
 
Habari za hapa Jukwaani.

Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.

Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.

Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio ya Uhalifu na Ukabaji.

Tunaomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu. Inaoneka Polisi wa Mwanga wanahongwa ili kumlinda. Naomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu.

Nawasilisha.
Mirungi na bangi haimharibu mtu ndo maana kuna nchi zimehalisha. Hakuna kinachoharibu vijana zaidi ya umasikini na ukosefu wa elimu.
 
Habari za hapa Jukwaani.

Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.

Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.

Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio ya Uhalifu na Ukabaji.

Tunaomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu. Inaoneka Polisi wa Mwanga wanahongwa ili kumlinda. Naomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu.

Nawasilisha.
Mkuu hapo Kwa Ibwe sio? Hapo ndio Godauni lipo hapo,askari hata wakija hawawezi kitu mana mzigo inauzwa Kwa wenyeji tu
 
Serikali imehalalisha gongo kuuzwa tena inapimwa kwa jero jero vijana tushajifia kwa pombe za kupima kama ambiance, kisungura, diamond, shimwaa, robot na majina mengine kama hayo.

Wanaouza wanazidi kutajirika na serikali inavuta kodi tu ila vijana wako chakari yani asubuhi mtu anafungua kinywa kwa kisungura cha jero ndio chai yake hiyo.
Wakazi Ndanda wanaogopa kuReport hili tukio maana Jamaa anashirikiana na Polisi wa Usangi na Mwanga.

Ukienda kutoa taarifa, Polisi wanashirikiana na Mtuhumiwa kukushughulikia.
 
Mkuu hapo Kwa Ibwe sio? Hapo ndio Godauni lipo hapo,askari hata wakija hawawezi kitu mana mzigo inauzwa Kwa wenyeji tu
Ndio hapo Jirani na kwa Mzee Ibwe....

Jamaa kahalalisha Uuzaji wa Mirungi na Bhangi.... Hii inasaidia kuongeza Matukio ya Wizi na Ukabaji.

Ni kama Serikali imebariki hili swala.
 
Back
Top Bottom