Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

Tanzania kuwa whistle-blower ni kitanzi, watu wanatetea uhalifu wazi wazi kwakuwa nao ni wahalifu katika nafasi zao, tuna safarei ndefu sana kama taifa!!
Hii nchi ndio maana Rushwa na Uhalifu hauwezi kuishi sababu ni Nchi ambayo ina Jamii ya watu wa ajabu sana.

Hapa naona asilimia kubwa nashambuliwa badala ya kushambulia Mamlaka ambazo zinamlea Mhalifu. Jamaa anauza Mirungu Hadharani.

Hap
 
Hongera sana mkuu, endelea na moyo huo huo, jamii yetu inahitaji madadiliko makubwa sana!
 
Huyu Jamaa anachangia sana kuharibu Vijana wa Usangi hasa hasa maeneo ya Kijiweni. Mamlak zisaidie kunusuru katika hili.
Unapotoa taarifa za uhalifu nibora pia ukazingatia haki za mtuhumiwa.mim siamin kua mirungi inachangia ubakaji.labda uweke taarifa vizur amechangia ubakaji vipi?kuna matukio mangapi ya ubakaji huko?lakin pia labda nikueke sawa kua nch hii hakuna mkoa usiouzwa mirungi hata moja.ukumbuke kenyq nihalali
 
Sogea Rombo , yaani hapo kenya ni chap wanaleta wanauza kama mchaichai
Na wanauziana kwa connection na code wanaoogopa serikali💤
 
Back
Top Bottom