Serikali imehalalisha gongo kuuzwa tena inapimwa kwa jero jero vijana tushajifia kwa pombe za kupima kama ambiance, kisungura, diamond, shimwaa, robot na majina mengine kama hayo.Huyu Jamaa anachangia sana kuharibu Vijana wa Usangi hasa hasa maeneo ya Kijiweni. Mamlak zisaidie kunusuru katika hili.
Mirungi na bangi haimharibu mtu ndo maana kuna nchi zimehalisha. Hakuna kinachoharibu vijana zaidi ya umasikini na ukosefu wa elimu.Habari za hapa Jukwaani.
Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.
Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.
Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio ya Uhalifu na Ukabaji.
Tunaomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu. Inaoneka Polisi wa Mwanga wanahongwa ili kumlinda. Naomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu.
Nawasilisha.
Mkuu hapo Kwa Ibwe sio? Hapo ndio Godauni lipo hapo,askari hata wakija hawawezi kitu mana mzigo inauzwa Kwa wenyeji tuHabari za hapa Jukwaani.
Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.
Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.
Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio ya Uhalifu na Ukabaji.
Tunaomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu. Inaoneka Polisi wa Mwanga wanahongwa ili kumlinda. Naomba Mamlaka zitusaidie kupambana na huyu mtu.
Nawasilisha.
Wakazi Ndanda wanaogopa kuReport hili tukio maana Jamaa anashirikiana na Polisi wa Usangi na Mwanga.Serikali imehalalisha gongo kuuzwa tena inapimwa kwa jero jero vijana tushajifia kwa pombe za kupima kama ambiance, kisungura, diamond, shimwaa, robot na majina mengine kama hayo.
Wanaouza wanazidi kutajirika na serikali inavuta kodi tu ila vijana wako chakari yani asubuhi mtu anafungua kinywa kwa kisungura cha jero ndio chai yake hiyo.
Ndio hapo Jirani na kwa Mzee Ibwe....Mkuu hapo Kwa Ibwe sio? Hapo ndio Godauni lipo hapo,askari hata wakija hawawezi kitu mana mzigo inauzwa Kwa wenyeji tu