Uuzaji wa mitungi ya Gesi

Uuzaji wa mitungi ya Gesi

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
13
Ndugu habari zenu

Ninataka kufanya biashara ya kuuza gesi ya kupikia majumbani. Yaani kama Oryx, Taiga etc. Ninapotaka kuuzia ni Manzese.
Naomba ushauri wenu juu ya namna ya kupata huo uwakala, pili nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani Kwa kuanzia (frame ipo) na mambo gani napaswa kuzingatia kwenye hii biashara.

Natanguluza shukrani zangu Kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom