Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mazao unayolima unayavuna baada ya mda gan na ni wapi?@raelish
Mkuu ukiona hiyo inakusumbua mi nipo hapa na ni mkulima, unanipa laki 4 nalima nakupa laki 5, yaani kwa pesa yoyote utakayonipa nalima alafu muda wa mavuno unapata faida 25% wewe hushughuliki na chochote,ukitoa hela tu basi unatulia kusubiria chako.. wote mnakarabishwa

Mkuu usitukumbushe mambo ya DECI
Mkuu usitukumbushe mambo ya DECI
ngoja wadau waje
Wadau nami nilikua na wazo la biashara kama hii niko moshi huku nimesikia wafanyabiashara wengi huenda gikombaa nairobi kufata viatu na nguo za mitumba naomba ushauri wenu ni sehemu gani naweza pata vitu hivi
njoo buguruni, manzese utavipata hivyo viatu unavyotaka