Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Acha uju'ha wewe!! Yaani unashindwa kuona utofauti wa maelezo ya Sumaye na tuhuma zinazotolewa kwenye hiyo habari?! Huyo Sumaye alisema serikali iliruhusu viongozi kuuzia nyumba ndugu zao na vimada wao pasipo na kufuata utaratibu?!
Machadema mmeishiwa dira wala Sera, hamjui mshike lipi.
 
Mtahangaika sana ila Magufuli ni jembe ulaya. Ataendelea kuwanyuka kama kawaida
 
James Dotto ndo katibu mkuu wizara ya fedha ?
NImejaribu kuunganisha dots sijafika conclusion lakini inaonekana ni kama jamaa ka-drop jina la Mgosha na kubaki na Doto James!!! Kuna hizo dalili manake ilishazungumzwa kwamba Katibu Mkuu ni ndugu na presdaa!!
 
Kumbe Baba Yule kaanzia mbali! Je sisi kama Watz wakawaida tutawezaje kulisaidia taifa letu?
 
Wote wenye ufahamu usio na viral infection leading to brain dysfunction wanafahamu wazi kwamba JPM ni moja ya mafisadi waliopata kutokea nchi hii!!!
wote wenye mtindio wa ubongo wanazusha kuwa Magufuli ni fisadi
 
Magufuli ni mzalendo namba moja tanzania. Ni mwaminifu na hajawahi kuiibia nchi yake hata siku moja. Ee Mungu. Mlinde na mpe maisha marefu aongoze tanzania hadi 2035
 
Kwenda huko, hili la nyumba Sumaye mbona alishalitolea ufafanuzi kwa kuwa alikuwa waziri mkuu!! Mbona ubongo wenu uneganda sana!! Akili zenu hazina akili.
unagawia vimada Nyumba za uma. Hata mwaka hujapita wa utawala wako uliotunukiwa na NEC unajenga international airport kijijini kwenu bila chembechembe ya aibu??? Ndio maana unaiba rambirambi na kujigamba na kudharau hata waliochanga na walengwa(wahanga) .

Wewe ni mtu wa aina ganI?

Lazima na Wewe utachuchumaa tu Kisutu
 
Mtahangaika sana ila Magufuli ni jembe ulaya. Ataendelea kuwanyuka kama kawaida
Ukiona mwamaume unapongeza harakat za Jiran ujue Na wewe ni Mke wapili!
NImejaribu kuunganisha dots sijafika conclusion lakini inaonekana ni kama jamaa ka-drop jina la Mgosha na kubaki na Doto James!!! Kuna hizo dalili manake ilishazungumzwa kwamba Katibu Mkuu ni ndugu na presdaa!!
 
Hivi na yeye alibakije kwenye ile list ya ma papa wa ufisadi??
Hapa naanza kuwa na wasiwasi na upnzani wetu, hivi kungekuwa na ukweli, mbona kwenye kampeni na wala bungeni hajawahi jadiliwa wala kuzungumzwa na makamanda wetu wa mafisadi,
Tundu Lisu, ZZK, Kafulila, Mbowe, Slaa na wengine?? Kulikoni?(
 
Uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…