Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

teh teh..huu uzi wa sept 2015 wa salva rweyemamu ndio mnaleta tena leo baada ya champion wa kupiga fisadis jpm kukamata na kufikisha watuhumiwa wakuu wa iptl mahakamani!!
Magufuli naye fisadi. Hoja za kwenye makala hii hazijajibiwa mpaka leo.

Kutojibiwa hoja ni kukubali kwamba hija zina ukweli.

Magufuli haaminiki kuongoza vita dhidi ya ufisadi, kwa sababu na yeye fisadi.
 
Wote wenye ufahamu usio na viral infection leading to brain dysfunction wanafahamu wazi kwamba JPM ni moja ya mafisadi waliopata kutokea nchi hii!!!
Ikiwa jpm ni fisadi (kwa vigezo vyako) je lowasa utamuita nani?!
 
ndio maana jamaa alipofika tu ikulu rweyemamu akakimbizwa kama mbwa
Hahahahhaha, Rweyemamu, kipindi anaandika alikuwa mwana mtandao, na wanamtandao kumbuka after JK ,Lowassa ilikuwa ndo awe Rais, hivyo walianika madudu ya Magufuli ili kumtengenezea njia Lowassa, sema timing ilikuwa mbaya as waliwahi sana, ndo maana hata haijamuharibia JPM 2015, kama unavyotujua watanzania ni mabingwa wa kusahau.Ila hizi news ingekuwa nchi zilizoendelea nakuambia JPM asingekuwa Rais.
 
Hahahhahahahahha SIyo hilo lile la Kivuko Kibovu na Nyumba 8000 za serikali
hili pia ni muhimu sana si umewasikia wenyewe kwa wenyewe.. na mimba za wanafunzi
 
Back
Top Bottom