Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Mwenye wivu wa kijinga nani tumia busara unapotoa comments zako kwani yeye amekuwa malaika hakosei akikosea lazima tumwambie huo sio wivu na nchi iendelee lazima kukubali makosa mbona yeye naye alipitisha mikataba mibovu ya madini kwa ndio na katika iliyopendekezwa mbovu kabisa kwa sauti kubwa ndio
Makavu lazima apewe akifanya makosa
Embu niambie nani anajua mchakato wa kununua bombardier ulivyokwenda kesho akitoka madarakani tuunde tume ya kuchunguza manunuzi yake tutatafuta humu
 
Wote wenye ufahamu usio na viral infection leading to brain dysfunction wanafahamu wazi kwamba JPM ni moja ya mafisadi waliopata kutokea nchi hii!!!
Ndio maana juzi kati kaifumua TBA
 
Wote wenye ufahamu usio na viral infection leading to brain dysfunction wanafahamu wazi kwamba JPM ni moja ya mafisadi waliopata kutokea nchi hii!!!

Hakuna msafi wala mwadilifu CCM. NUKTA.
 
hili pia ni muhimu sana si umewasikia wenyewe kwa wenyewe.. na mimba za wanafunzi

Watoaji Mimba za wanafunzi ndiyo hao watawala.Ukitaka kujua ukweli karibia Dodoma wakati wa Bunge.Nawaone huruma wanafunzi pale niliposikia serikali inakaa kwenye majengo ya UDOM,nikasema duh UKIMWI umeingia rasmi UDOM pole wanafunzi
 
Kwa umbea wangu ningependa kweli kumfahamu huyo msichana anayeishi kwao na ana mradi wa kupangisha nyumba,je walikuwa na uhusiano gani na Magu,Je kwa sasa huyo binti anafanya kazi gani au ni mmoja wa wakuu wa wilaya,isije ikawa ndiye huyu nayetaka kumtolea mahari maana simuelewi elewi halafu nasikia ana undugu na mkuu,miujlishe jamani nisije pata mke si riziki.
 
This "mwandishi" is the reason why Gerson Msigwa is there in that house
 
Kwenda huko, hili la nyumba Sumaye mbona alishalitolea ufafanuzi kwa kuwa alikuwa waziri mkuu!! Mbona ubongo wenu uneganda sana!! Akili zenu hazina akili.
wanajitahidi kumtafuta kila angle wamemkosa....hahhahhahahh raha sana
 
Hizo mbwembwe, jipangeni ukawa saivi hamna. Cha kuongelea mtakufa kifo cha mende
 
Namutakia kila lakheri apitie na huku, namuombea.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…