Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)


Ufisadi ni ifisadi tu, hata kama ipite miaka mia iko siku atapandishwa kizimbani . Tupa nje fisadi jiwe
 
Serikali itakayotaifisha hizo nyumba inakuja, wakae wakilijua hilo.
 
JPM ni mpaka 2025. Mengine yote ni hadithi za kupoteza wakati.
  • Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza,
  • Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700,
  • fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100%,
  • ambapo asilimia 15% fedha taslimu na 85% tumekopa ,
  • na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu.
 
Wa Tz vichwa vigumu jana akifungua terminal 3 kawaambia Mungu akimchukuwa raisi ajaye atapata wakati mgumu naagalia comment humu nacheka oh tutamshitaki lini?
 
Reactions: Qwy
Kikubwa tangu Mkuu aingie ndani ya penati box sijawahi kumsikia akilisemea hili kuwa ni ufisadi
 
JPM ni mpaka 2025. Mengine yote ni hadithi za kupoteza wakati.
Unapofurahisha Ni pale nafsi inapokusuta kila ukijaribu kutafuta namna ya kumtetea kuwa sio fisadi.
Tukubaliane hapa kwanza kabla hatujadanganyana kuhusu Vita ya ufisadi. Bado mbeleni yatafukuliwa ya damu alizokunywa
 
Huyu ni mpaka 2025. Na Leo hii kuna kozi inamalizika pale jeshini bahari beach.

Watu sitini akiwemo Makonda wanawekwa sawa kwa ajili ya 2020 - 25.

Mkuu analiweka sawa kiuongozi kundi lake la wapiga kazi.

Endelea kujiandaa kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…