Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Fisadi anayenunua ndege kumi ndani ya miaka mitano anatufaa sana.Unapofurahisha Ni pale nafsi inapokusuta kila ukijaribu kutafuta namna ya kumtetea kuwa sio fisadi.
Tukubaliane hapa kwanza kabla hatujadanganyana kuhusu Vita ya ufisadi. Bado mbeleni yatafukuliwa ya damu alizokunywa
Fisadi aliyeifumua wizara ya ardhi anaifaa Tanzania.
Fisadi aliyeongeza bajeti ya afya karibu mara kumi kuliko miaka ya nyuma analifaa taifa hili.
Fisadi anayeongeza ukubwa wa bandari ni wa kumwombea kila unapopiga magoti kanisani au msikitini.