Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Unapofurahisha Ni pale nafsi inapokusuta kila ukijaribu kutafuta namna ya kumtetea kuwa sio fisadi.
Tukubaliane hapa kwanza kabla hatujadanganyana kuhusu Vita ya ufisadi. Bado mbeleni yatafukuliwa ya damu alizokunywa
Fisadi anayenunua ndege kumi ndani ya miaka mitano anatufaa sana.

Fisadi aliyeifumua wizara ya ardhi anaifaa Tanzania.

Fisadi aliyeongeza bajeti ya afya karibu mara kumi kuliko miaka ya nyuma analifaa taifa hili.

Fisadi anayeongeza ukubwa wa bandari ni wa kumwombea kila unapopiga magoti kanisani au msikitini.
 
Kwa kiasi kikukubwa walionufaika na uuzwaji wa Nyumba za Serikali ni wanainchi wa kawaida kwa sababu katika nyumba hizo 8300 nyingi zilikuwa ni nyumba kuku na dhamani yake kwenye vitabu ilikuwa shilingi moja.
Kwa kanuni na sharia za matengenezo ya nyumba za Serikali, hazikuwa na hadhi tena ya kufanyiwa matengenezo bali kubomolewa na kujengwa zingine.
Serikali iliamua kupunguza gharama za ubomoaji kwa kuwauzia Watumishi wake nyumba hizi na kujenga zingine kwenye viwanja vipya.
Tatizo kubwa lililogitokeza hata ni double standard katika kuuza nyumba.
Nyumba hizi ni mali ya Umma na Watanzania wote wana haki sawa kuuziwa.
Ukitoa waraka kuwa ni watumishi wa Serikali kuu tu ndiyo wanastahili kuuziwa nyumba unakuwa umefanya ubaguzi.
Kuna watumishi wa mashirika ya umma ambao walitupwa nje ya nyumba za mashirika yao na nyumba hizo kuuziwa watumishi wa Serikali kuu.
Maamuzi ya Serikali hayakuwa kuwatoa Watanzania wengine kwenye nyumba hizi na watumishi wa Serikali kuu kujiuzia.
Baadhi ya watumishi wa Serikali walitekeleza maamuzi mazuri ya Baraza la Mawaziri kwa manufaa binafsi na kwa kinyume na maagizo ya Baraza la Mawaziri.
Pengine Watanzania wengi wanaangalia swala la nyumba kwa namna ya kuona wivu tu kwa sababu wao hawakupata bahati ya kuuziwa.
Jambo baya kabisa ambalo lilifanyika katika kuuza mali za Umma ni wakati wa kubinafsisha mashirika ya Umma.
Mali nyingi sana ya Umma ilipotea kwa watu kugigawia mashirika ya umma kwa bei ya shilingi moja.
Hapa ndiyo mahali pa kupiga kelele na siyo kuhangaika na Magofu ya nyumba za Serikali zilizojengwa wakati wa ukoloni ambazo Hayati Mwalimu Nyerere alizibinafisidha.
 
Dua la kuku. Wastaafu kuwagusa ni vigumu.

Kama ambavyo katiba inaruhusu mikutano ya siasa lakini jkwe kazuia, iko siku utajuwa kuwa wastaafu wana kinga au hawana ni katiba au utashi wa kiongozi wa hawamu husika. Kama ilivyotokea jiwe kuvunja katiba basi katiba pia itavunjwa ili kumtia adabu juu ya ufisadi wake
 
Hata Vitabu vya dini vinatoa upendeleo kwa ndg kwanza,,

Musa alipotumwa na Mungu Yehova arudi tena Misri kukomboa wana wa Israel mikononi mwa KAFIRI Farao .,Musa hakuchagua MTU Baki Bali alimteua kaka yake Haruni kuambatana naye.

Hata wakati wa Yesu pia wapo wanafunzi waliitana wana ndgu kwanza kuona miujiza ya Yesu kabla ya watu baki.

Acheni Wivu wa kijinga Acheni Jpm achape Kazi.
Sasa we mgalatia uuzaji wa nyumba za serikali umegeuka kuwa mahubiri?
Kichwa kubwa akili karanga
 
Kwa kiasi kikukubwa walionufaika na uuzwaji wa Nyumba za Serikali ni wanainchi wa kawaida kwa sababu katika nyumba hizo 8300 nyingi zilikuwa ni nyumba kuku na dhamani yake kwenye vitabu ilikuwa shilingi moja.
Kwa kanuni na sharia za matengenezo ya nyumba za Serikali, hazikuwa na hadhi tena ya kufanyiwa matengenezo bali kubomolewa na kujengwa zingine.
Serikali iliamua kupunguza gharama za ubomoaji kwa kuwauzia Watumishi wake nyumba hizi na kujenga zingine kwenye viwanja vipya.
Tatizo kubwa lililogitokeza hata ni double standard katika kuuza nyumba.
Nyumba hizi ni mali ya Umma na Watanzania wote wana haki sawa kuuziwa.
Ukitoa waraka kuwa ni watumishi wa Serikali kuu tu ndiyo wanastahili kuuziwa nyumba unakuwa umefanya ubaguzi.
Kuna watumishi wa mashirika ya umma ambao walitupwa nje ya nyumba za mashirika yao na nyumba hizo kuuziwa watumishi wa Serikali kuu.
Maamuzi ya Serikali hayakuwa kuwatoa Watanzania wengine kwenye nyumba hizi na watumishi wa Serikali kuu kujiuzia.
Baadhi ya watumishi wa Serikali walitekeleza maamuzi mazuri ya Baraza la Mawaziri kwa manufaa binafsi na kwa kinyume na maagizo ya Baraza la Mawaziri.
Pengine Watanzania wengi wanaangalia swala la nyumba kwa namna ya kuona wivu tu kwa sababu wao hawakupata bahati ya kuuziwa.
Jambo baya kabisa ambalo lilifanyika katika kuuza mali za Umma ni wakati wa kubinafsisha mashirika ya Umma.
Mali nyingi sana ya Umma ilipotea kwa watu kugigawia mashirika ya umma kwa bei ya shilingi moja.
Hapa ndiyo mahali pa kupiga kelele na siyo kuhangaika na Magofu ya nyumba za Serikali zilizojengwa wakati wa ukoloni ambazo Hayati Mwalimu Nyerere alizibinafisidha.
Umejaza utumbo mtupu hapa.
We unajua thamani ya kiwanja kitupu pale Ocean Rd?

Ukitaka kutetea utumbo jaribu kuandika vitu vyenye kuingia akilini kidogo .
 
Mijitu mingine yaani anakataa halafu anakubali, hao anaoita watumishi ni wa vyeo gani waliogaiana hizo nyumbani chakavu, na kama serikali iliona kwamba hazifai kwa nini katika viwanja hivyohivyo wasijenge hizo mpya, na je hadi sasa zimejengwa ngapi? Hapa nilipo hakuna hata nyumba moja ya serikali iliyojengwa.
 
Sasa we mgalatia uuzaji wa nyumba za serikali umegeuka kuwa mahubiri?
Kichwa kubwa akili karanga
😂😂😂😂😂😂 al akhy kahtaan, huwa nakukumbuka mno. Karibu tena jamvini, uliadimika sanaa
 
Ngoja astaafu halafu Raisi ajaye naye ajitengenezee "Musiba" wake wa kutukana wastaafu, hili la nyumba ya serikali ndilo atakaloshikia bango!
Uongozi ni koti la kuazima ipo siku utalirudisha kwa mwenye nalo!
 
Viongozi wanajitapa kuwa na udhalendo lakini udhalendo haumo ndani yao! Shame Mr politician number one
 
Kama ambavyo katiba inaruhusu mikutano ya siasa lakini jkwe kazuia, iko siku utajuwa kuwa wastaafu wana kinga au hawana ni katiba au utashi wa kiongozi wa hawamu husika. Kama ilivyotokea jiwe kuvunja katiba basi katiba pia itavunjwa ili kumtia adabu juu ya ufisadi wake
Hiyo siku inaweza kutukuta mimi na wewe tukiwa tunaitwa marehemu. Ndio maana nakwambia unayoyasema ni dua la kuku.
 
Ok, so wewe ambacho hukitaki ni jiwe kuwajibishwa juu ya ufisadi wake au ni nini?
Mkuu, Rais akishaapishwa pale shamba la bibi huwezi kumgusa mpaka anakwenda kaburini.

Watu wanaangalia nia njema aliyonayo hawaangali mwaka 2001 alifanya nini na wapi, wanaangalia kusudio lake na wanampima kiutendaji na wanamuelewa vyema.

Huwezi kumgusa mtu aliyeapishwa na jaji mkuu hadharani.
 
Raisi ana Kinga kwa makosa aliyofanya akiwa anatekeleza majukumu ya kiraisi siyo yale aliyofanya akiwa mwalimu wa chemistry au Waziri miaka mingi nyuma. Na jinai haifi, kama ukija utawala mwingine wenye kupinga ufisadi kwa dhati lazima utamshughulikia
 
Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo. Nenda mahakama kuu kafungue kesi.

Huyu alisema yeye ni gongo sio pepsi, tunaendelea kulewa kila kukicha.
 
Ukishastaafu unaishi kwa huruma ya aliyekalia kile kiti, akiamua kukusomesha namba unaisoma vizuri tu, Kinga ya uraisi haihusu jinai binafsi inahusu maamuzi yanayohusu uendeshaji wa nchi. Haiwezekani kwa mfano ukawa mkwapuaji wa pesa ya umma una account uswiss eti ukadai una kinga ya rais, itakula kwako mtawala mwingine akiamua kukushughulikia
 
Mnapoteza muda kufikiria kwamba huyu wa sasa ataishi kwa huruma ya ajaye.

Jana ijumaa yamemalizika mafunzo maalum ya viongozi wa juu 60 pale bahari beach jeshini.

JPM analiandaa vyema kiuongozi kundi lake litakalokuwa na nguvu kuanzia 2020 - 25, na kwa taarifa yako marais wamekuwa wakishindwa kuwaweka viongozi chaguo lao kwa sababu wao wenyewe wamekuwa hawaaminiki.

JPM anaaminika kwa wananchi, na wananchi wanawakubali wale ambao ni chaguo lake la moja kwa moja, rejea Kassim Majaliwa Majaliwa.

Usishangae 2025 JPM akaweka mtu wake na akaungwa mkono na chama.
 
Ukishastaafu unaishi kwa huruma ya aliyekalia kile kiti, akiamua kukusomesha namba unaisoma vizuri tu, Kinga ya uraisi haihusu jinai binafsi inahusu maamuzi yanayohusu uendeshaji wa nchi. Haiwezekani kwa mfano ukawa mkwapuaji wa pesa ya umma una account uswiss eti ukadai una kinga ya rais, itakula kwako mtawala mwingine akiamua kukushughulikia
Mnapoteza muda kufikiria kwamba huyu wa sasa ataishi kwa huruma ya ajaye.

Jana ijumaa yamemalizika mafunzo maalum ya viongozi wa juu 60 pale bahari beach jeshini.

JPM analiandaa vyema kiuongozi kundi lake litakalokuwa na nguvu kuanzia 2020 - 25, na kwa taarifa yako marais wamekuwa wakishindwa kuwaweka viongozi chaguo lao kwa sababu wao wenyewe wamekuwa hawaaminiki.

JPM anaaminika kwa wananchi, na wananchi wanawakubali wale ambao ni chaguo lake la moja kwa moja, rejea Kassim Majaliwa Majaliwa.

Usishangae 2025 JPM akaweka mtu wake na akaungwa mkono na chama.
 
Kwa kiasi kikukubwa walionufaika na uuzwaji wa Nyumba za Serikali ni wanainchi wa kawaida kwa sababu katika nyumba hizo 8300 nyingi zilikuwa ni nyumba kuku na dhamani yake kwenye vitabu ilikuwa shilingi moja.
Kwa kanuni na sharia za matengenezo ya nyumba za Serikali, hazikuwa na hadhi tena ya kufanyiwa matengenezo bali kubomolewa na kujengwa zingine.
Serikali iliamua kupunguza gharama za ubomoaji kwa kuwauzia Watumishi wake nyumba hizi na kujenga zingine kwenye viwanja vipya.
Tatizo kubwa lililogitokeza hata ni double standard katika kuuza nyumba.
Nyumba hizi ni mali ya Umma na Watanzania wote wana haki sawa kuuziwa.
Ukitoa waraka kuwa ni watumishi wa Serikali kuu tu ndiyo wanastahili kuuziwa nyumba unakuwa umefanya ubaguzi.
Kuna watumishi wa mashirika ya umma ambao walitupwa nje ya nyumba za mashirika yao na nyumba hizo kuuziwa watumishi wa Serikali kuu.
Maamuzi ya Serikali hayakuwa kuwatoa Watanzania wengine kwenye nyumba hizi na watumishi wa Serikali kuu kujiuzia.
Baadhi ya watumishi wa Serikali walitekeleza maamuzi mazuri ya Baraza la Mawaziri kwa manufaa binafsi na kwa kinyume na maagizo ya Baraza la Mawaziri.
Pengine Watanzania wengi wanaangalia swala la nyumba kwa namna ya kuona wivu tu kwa sababu wao hawakupata bahati ya kuuziwa.
Jambo baya kabisa ambalo lilifanyika katika kuuza mali za Umma ni wakati wa kubinafsisha mashirika ya Umma.
Mali nyingi sana ya Umma ilipotea kwa watu kugigawia mashirika ya umma kwa bei ya shilingi moja.
Hapa ndiyo mahali pa kupiga kelele na siyo kuhangaika na Magofu ya nyumba za Serikali zilizojengwa wakati wa ukoloni ambazo Hayati Mwalimu Nyerere alizibinafisidha.
Kama nyumba zilikuwa hazifai, na walitakiwa kujenga nyingine kwanini hawakubomoa hizo hizo na kujenga mpya hapo hapo?
 
Back
Top Bottom