Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
- Thread starter
-
- #21
Dah!naomba nikusalimie kwanza Broda!
Naona leo umekuja na jipya,kwa upande wa wanaume siwezi kusema chochote coz hiyo stail inaniboa sana unakuta kichupi chenyewe kichafu alafu ndio kajidai kuulambia lol!
Hii ya wadada nayo inaniachaga hoi tu coz wengi ni wale wa huku kwetu uswazi hata mapaka leo huwa sijui 7bu ni nn?
Saa ingine unakuta mpaka wa na wamama wanachomekea hizo dela kwa chupi,labda ni stail!
Japo kwa upande wangu sion km ni sahihi coz inakuwainaonyesha mpaka chupi ilipoishia yani wala haipendezi!
Ngoja tusubiri wavaaji labda watatujuza 7bu ni nn au ni stail na tutajua.
Mi wengi wao wa uswazi naona wanataka kuonyesha milindimo ya kipwani mwenye kalio kubwa uswazi ni ujiko akipita na mwendo wa bata watu shingo feni wote wanashangaa mzigo unavyo tetemeka Singida Dodoma unakuta mpododo lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiii