Uvaaji huu ni sahihi?

Uvaaji huu ni sahihi?

Dah!naomba nikusalimie kwanza Broda!
Naona leo umekuja na jipya,kwa upande wa wanaume siwezi kusema chochote coz hiyo stail inaniboa sana unakuta kichupi chenyewe kichafu alafu ndio kajidai kuulambia lol!
Hii ya wadada nayo inaniachaga hoi tu coz wengi ni wale wa huku kwetu uswazi hata mapaka leo huwa sijui 7bu ni nn?
Saa ingine unakuta mpaka wa na wamama wanachomekea hizo dela kwa chupi,labda ni stail!
Japo kwa upande wangu sion km ni sahihi coz inakuwainaonyesha mpaka chupi ilipoishia yani wala haipendezi!
Ngoja tusubiri wavaaji labda watatujuza 7bu ni nn au ni stail na tutajua.

Mi wengi wao wa uswazi naona wanataka kuonyesha milindimo ya kipwani mwenye kalio kubwa uswazi ni ujiko akipita na mwendo wa bata watu shingo feni wote wanashangaa mzigo unavyo tetemeka Singida Dodoma unakuta mpododo lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mi wengi wao wa uswazi naona wanataka kuonyesha milindimo ya kipwani mwenye kalio kubwa uswazi ni ujiko akipita na mwendo wa bata watu shingo feni wote wanashangaa mzigo unavyo tetemeka Singida Dodoma unakuta mpododo lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Haaaa haaaa,
Kumbe ni ili kupata misifa ya kutingisha!
Umesomeka broda!!
 
Mi mgumu wa wagumu Lizzy na huwa sichuniki kirahisi mtoto nimezaliwa enzi za utawala wa mzee Julius natekeleza sera ya ujamaa na kujitegemea kwa matendo na chomekea siku za sikukuu tu napo kwa mwaliko maalumu kwa mwaka mara moja au mbili
Lol, tena hapo mwaliko wenyewe iwe ni kumsindikiza swahiba ukweni vinginevyo hachomekei mtu hapa!

Nimecheka sana hapo kwenye chupi kugeuka under skirt, niliwahi msikia mtu anasimlia hiyo story nkajua ni matani kumbe ya kweli. Yeye alisema walikuwa wanashindana kucheza mpira na shule ya jirani, sasa timu yao wakatakiwa kuvua mashati ila yeye akawa anagoma kuvua shati coz chupi ilikuwa imepanda kifuani, walimu wakakazana kumchapa ili avue akagoma kabisa, mwisho wa siku akatolewa uwanjani.

Labda hizo chupi zimerudi tena manake haiingii akilini dume zima uchomeke ndani ya chupi khaaa, style zingine too much.

Kuhusu wadada kuchomekea dera kwenye chupi sina hakika sana manake mie huwa nachomekea kwenye suruali(sio kwa sababu ya kujionyesha makalio) ili kuniwezesha kutembea kwa uhuru manake si unajua dera shurti liwe refu? Sasa usipochomekea wakati wa kutembea lazima ulikanyage na utachelewa uendako lol.
 
kwa wanaume kuchomekea kwenye chupi sio staili unakuta ni bahati mbaya katika purukushani za kuvaa unakosea kuchomekea,ila kwa wanawake kuchomeka chupi kwenye madela yao ndo fasheni naona,,,,,,
 
Back
Top Bottom