Hata wangevaa kaptula, kobazi na vest tu, si nakala ya hukumu bado ingefika tu!Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani Covid-19 kupambania haki yao kama Watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to feed not a village to impress.
View attachment 2270544
Maafisa wa CHADEMA Kushoto Aaron Mashuve na Kulia Evance Luvinga Wakiwa Nje ya viunga vya Bunge, Dodoma wakiwa wametoka kuwasilisha hukumu ya Mahakama kwa Spika Tulia Ackson
Tulia ackson ni gwiji la sheria utasikia mwenyewe atakavyoidadavua chadema, hapa covid 19 kuondolewa inategemea tu spika kaamkaje siku hiyo ila ukweli ni kwamba siyo mahakama wala yoyote yule anayeweza kumtingisha spika na msisahau ndugai alitoa ahadi ya kuwalinda covid 19 ni lazima ahadi ile itimizwe , legacy ni muhimu kwa hawa ma spika hawawezi kusalitiana kisa wanuka jasho ma keyboard warriorsNina wasiwasi mleta mada km hajalewa Basi kavuta wida, yy akiiangalia hiyo picha anaona km wako uchi, halafu eti anajiita genious
Utoto au ufalaPunguza utoto dogo.
huwa unakutana nao hapa jf? acha hiyo michezo mkuu ..duh na siku nyingine usitumie thread yangu kujitangaza ushoga wakoKilasiku idadi ya vijana wa kiume inapungua Tu.....kujua Hilo angalia hapa jamiiforum wapo wengi Sana sio riziki
hivi kula ni mafanikio siku hizi?Mleta mada umekula?
Akikujibu muulize je, anabandua au anabanduliwa?How old are you?
basi hapa kinyeo kinakuwasha popoma , comments zako zote mambo ya mavimavui halafu unajiona bonge la lijanja eti cyber bully..mavi ya kuku, kwendaaaaAkikujibu muulize je, anabandua au anabanduliwa?
na wapumbavu wamejaa kweli kuzichangia nao wanashangaaThread za ajabu ajabu kama hizi, unashangaa zinadumu.
Iko wapi JF ya Great thinkes??
Wenye 'Akili' huwa hawaangalii Uvaaji bali huangalia hasa 'Content' ya Kitu ( Jambo ) husika. You're a Certified Fool Mkuu.Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani Covid-19 kupambania haki yao kama Watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to feed not a village to impress.
View attachment 2270544
Maafisa wa CHADEMA Kushoto Aaron Mashuve na Kulia Evance Luvinga Wakiwa Nje ya viunga vya Bunge, Dodoma wakiwa wametoka kuwasilisha hukumu ya Mahakama kwa Spika Tulia Ackson
Sio njaa tu hata akili kaazima mtuInaonesha wazi mleta mada una njaakalihatari
vilaza kama wewe iwe marufuku kusoma threads za ma genius
Njaa ya huyu mwamba imeanzia kichwaniInaonesha wazi mleta mada una njaakalihatari
Akiainisha nistueAinisha hiyo sheria husika.