Kizzo alikuwapo mtandaoni miaka mingi kabla ya kuja kwa Instagram....Mnazingua mjuwe nyie maana kizzo insta alikuwa na followers 2K elfu mbili tu.
Acha wavae bana hizo ndio sisi wafiwa tunaita faraja,............Jana tulikuwa tunamzika brother Kizzo. Huyu jamaa alikuwa mtu wa watu kweli kweli. Katika umri wake aliyeishi duniani amegusa watu wengi waliokuwepo msibani watanielewa. Kila aliyesimama alisema Kizzo was a friend hata kina Millya, Lema, Nassary waliposimana walisema tumpoteza rafiki!
Kiukweli huyu jamaa alikuwa mtu poa sana kuanzia hometown Arusha hadi Dar.
Kero kubwa iliyojitokeza msibani ni wanawake waliotokea Dar es Salaam walivaa kiaibu sana. Waligeuza msiba sehemu ya kutangaza viungo vyao!
carol Ndosi ambaye ni mfiwa, alivaa vibaya sana. Alivaa dera ambalo ni transparent tulikuwa tunaona hadi nguo ya ndani aliyovaa. Hii ilipelekea wanaume kuhamishia macho kwake kwa maskitiko
Mwanamke yeyote kwenye msiba wa jana alivaa nguo inayoonesha mapaja. Hii iliwahuzunisha sana wazee wa kimeru.
Wanawake wa Dar, msibani sio sehemu ya kuonesha fasheni ya mavazi.
Nyie wanawake wa Dar badilikeni!
Kumbe walikuwepo walovaa hivyo? Niliowaona wengi walikua wamevaa suruali. Sema ujumbe tumeupata
Ungezungumzia tu uvaaji mbaya kwenye msiba bila kumtaja dada wa marehemu. Kumtaja kwako inaweza kuleta dhana kuwa lengo lako lilikuwa kumshambulia tu huyo dada ila umetumia mgongo wa mavazi.
Kipindi anachopitia sasa hivi si kizuri kuanza kumshambulia kuhusu mavazi kwenye msiba wa mpendwa kaka yake.
Jana tulikuwa tunamzika brother Kizzo. Huyu jamaa alikuwa mtu wa watu kweli kweli. Katika umri wake aliyeishi duniani amegusa watu wengi waliokuwepo msibani watanielewa. Kila aliyesimama alisema Kizzo was a friend hata kina Millya, Lema, Nassary waliposimana walisema tumpoteza rafiki!