Uvaaji stara wa kike mtindo wa kiislamu watamba(Hijabu)

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828

Wanamitindo wawili wakati wa maonesho ya mitindo ya mavazi ya Stara Fashion Week yalioandaliwa City Garden, Dar es salaam.
Maonesho yalitumiwa na wabunifu mitindo wa Kiislamu Tanzania kuvumisha mavazi ya heshima kwa wanawake.
bbc-Swahili.
 
Sio utamaduni wetu na haujawahi kuwa..!! Wangejifunga kanga hapo sawa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…