mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Chuoni wadada walikuwa wakifulia , wakikosa hela ya saloon walikuwa wanajifunika hizi ushungi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Ukhuty Mrembo maashaallah
WanafanyajeWakute usiku sasa
Hao Waarab na Waajemi wanapendeza, nyie dada zetu msijidanganye.Wanapendeza sana watu wanaovaa hijjab
Kweli kabisa unavosemaSawa kwa macho wanapendeza ila je stara ya mwanamke wa kiislam inatakiwa iwe hvo?
Wanawake waislam tumeambiwa tuteremshe shungi zetu mpka chini ya vifua vyetu na tuinamishe macho yetu,vazi la mwanamke w kiislam halitakiwi kua na mapambo yenye kuvutia wala ming'ao.
Hawa wadada wanaoanzisha hizo fashion show wanakiuka kabisa maadili ya uislam na kuupotosha umma kwa wasiokua na elimu juu ya vazi la mwanamke wa kiislam.
Vazi la kiislam halitakiwi lioneshe maumbile ya mwili wa mwanamke,halitakiwi livutie ili usichukue attention ya watu,,lisibane,lifunike mwili mzima isipokua vitanga vya mikono na uso..(inapendeza zaidi akaziba na uso ili kutokuwashughulisha wanaume maana fitna inaanzia usoni).
Sasa je hawa wa fashion show hio stara wamejifunza kutoka kwa nani?!!!!!!!!!!!!!
Ni kweli na hasa ukiwa umetoka na unaishi mbali lakini kwa Pwani ni sehemu ya utamaduniSio utamaduni wetu na haujawahi kuwa..!! Wangejifunga kanga hapo sawa..!!
Ni mtindo wa kiislam au wa kiarabu?![]()
Wanamitindo wawili wakati wa maonesho ya mitindo ya mavazi ya Stara Fashion Week yalioandaliwa City Garden, Dar es salaam.
Maonesho yalitumiwa na wabunifu mitindo wa Kiislamu Tanzania kuvumisha mavazi ya heshima kwa wanawake.
bbc-Swahili.
Ipo hivi mwanamke wa kiislam kuvaa stara kwake ni wajib na hatuvai as fashion hatuvai tupendeze hatuvai tuvutie na haijaandikwa mahali kwamba watu weusi wasivae hijaab sababu hawapendeziHao Waarab na Waajemi wanapendeza, nyie dada zetu msijidanganye.
Mtu mweusi kama ngedere, halafu ukajifunike uache macho tu na kujidanganya eti unafanana na Aaliya wa Beintehaa...uzuzu wa akili huo.
![]()
Kuna tofauti hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
huo ndo ukweli , dini imekamilika hakuna fashionIpo hivi mwanamke wa kiislam kuvaa stara kwake ni wajib na hatuvai as fashion hatuvai tupendeze hatuvai tuvutie na haijaandikwa mahali kwamba watu weusi wasivae hijaab sababu hawapendezi
Tnavaa sababu tumeambiwa tujisitiri miili yetu kama ni kupendeza mwanamke anatakiwa ampendezeshe mmewe chumbani macho ya mmewe ndio yaone mengi ya mkewe
Ijapokua sasa hivi zinavaliwa tu kama fasheni lakini utambue hijjab ni lazima kwa mwanamke wa kiislam