Uvaaji wa Bikini unazeesha sana na haraka Uke

Hii habari ingenoga sana kama tungeoneshwa na picha ya Mbunye iliyozeeka kwa sababu ya bikini.
 
Hizi tafiti za maungoni ni zakutilia mashaka sana, sample size yake ilikua ya wavaa bikini wangapi? alishughulika na wale wano vaa bikini kila siku au ata wale wanovaa wakiwa kwenye harakati za kugawa utamu? haya mambo mengine uprofessor wa mtu unatiliwa mashaka kwa haraka, nafikiri kwa maandishi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…