Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Weka picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu Gentamycine,Kutukuka maana yake nini??,mbona hili neno unalitumia vibaya mahali pasipostahili?,anyway ni mawazo yangu tu.
mzee we una mbunye nini, umejuaje kama k inazeeka kama hauna. kwahiyo na mbunye yako wewe imezeeka kwasababu ya bikin?Professor mmoja wa Kifaransa huko Jijini Paris na ambaye pia ni Mtafiti wa Magonjwa ya akina Mama amesema kuwa uvaaji wa Nguo za ndani Chupi aina ya Bikini kwa akina Dada / Mama huathiri kwa kiasi kikubwa sana Uke / Mbunye zao kwa Kuzizeesha na kuzitengenezea Usugu / Ukomavu fulani hivi uliotukuka.
ansa ameshatoa majibu mujarab kabisa.
Nawasilisha.
Hivi mkuu Gentamycine,Kutukuka maana yake nini??,mbona hili neno unalitumia vibaya mahali pasipostahili?,anyway ni mawazo yangu tu.
Mkuu,ninachofahamu mimi kwa uelewa wangu mdogo sana nilionao ni kwamba neno"Kutukuka",hutumika sana kusifia mambo mazuri,mfano tunaweza kusema kuwa-"Mh.Rais wa Tanzania amefanya kazi iliyotukuka ya kurejesha nidhamu ya watumishi wa umma".Hivyo neno hili hatuwezi kulitumia kusifia vitu viovu au visivyo na maana km vile Uzinzi,Wizi,au Via vya Uzazi km Uume na Uke,hivyo ni Viungo tu km zilivyo Pua,mdomo,nywele,kucha,meno,n.k.ambavyo Mungu aliviweka ktk miili yetu vitusaidie hivyo si halali kusema eti Vimetukuka.Aidha mtu akiiba,si sawa kusema Wizi wake umetukuka,neno hili ni zito lenye nia ya Kusifu Mambo mema yaliyotendwa na Muumba yaani Mungu Mwenyezi au Viumbe wake yaani Wanadamu waliofanya vema na kazi zao kupendeza mbele za Mungu na mbele za Wanadamu wenzao.Hivi kwa mfano nikisema kwamba hiki ulichokiandika hapa Kimetukuka kwa kuwa cha Kijinga kama siyo Kipambavu unadhani hilo neno hapo nimelitumia vibaya au siyo mahala stahili Mkuu?
Nitashukuru ukinijibu Ewe JF Member uliyetukuka.
Mkuu,ninachofahamu mimi kwa uelewa wangu mdogo sana nilionao ni kwamba neno"Kutukuka",hutumika sana kusifia mambo mazuri,mfano tunaweza kusema kuwa-"Mh.Rais wa Tanzania amefanya kazi iliyotukuka ya kurejesha nidhamu ya watumishi wa umma".Hivyo neno hili hatuwezi kulitumia kusifia vitu viovu au visivyo na maana km vile Uzinzi,Wizi,au Via vya Uzazi km Uume na Uke,hivyo ni Viungo tu km zilivyo Pua,mdomo,nywele,kucha,meno,n.k.ambavyo Mungu aliviweka ktk miili yetu vitusaidie hivyo si halali kusema eti Vimetukuka.Aidha mtu akiiba,si sawa kusema Wizi wake umetukuka,neno hili ni zito lenye nia ya Kusifu Mambo mema yaliyotendwa na Muumba yaani Mungu Mwenyezi au Viumbe wake yaani Wanadamu waliofanya vema na kazi zao kupendeza mbele za Mungu na mbele za Wanadamu wenzao.
Kaka mkubwaa!!!,nimekuudhi nini?,mimi naongea ukweli wa kile ninachokielewa.mimi natoa vidonge Ukitaka kumeza au kutema shauri yako,kutukanwa au kusemwa vibaya nishazoea,nimeanza kusemwa tangu nikiwa Tumboni mwa Mama yangu sembuse leo hii ambapo nina meno 32.Samahani Kaka usijenge bifu.Tupo pamoja Kamanda Gentamycine.Mwishoni utaniuliza kwanini najiita GENTAMYCINE. Mkuu nikuombe tu tusichoshane kwani najijua mwenyewe nilivyo na nikiangalia dira yangu naona kama vile unaelekea kuniudhi / kunikera Kunakotukuka hivyo sitaki nikujibu vibaya halafu nikuharibie siku. Umeliona tu neno Kutukuka mbona haya mengineyo akina Popoma, Mbunye, Mkuyenge, Ngumbaru, Upupu na Hovyo Hovyo huyasemei?
Endelea tu kujijaza mwenyewe katika Frame nikufyatue vizuri ukapumzike.

Inaonesha wewe ni bonge la zigo[emoji1]bikini inaumiza sana bonde la ufa. nilishindwa kabisa kuzivaa. kidogo inikate rift valley yangu ni mateso makubwa wavae tu vimbao mbao
Uko fresh ee, nan kakwambiaMimi mbona sivaagi pichu na niko fresh, hiyo hewa ni ipi hiyo
Wanasema ni "vice versa"Zamani ilikuwa unafunua chupi ndio uone tako, siku hizi eti ufunue tako ndio uone chupi. Nashindwa kuelewa ni tako ndio limevaa chupi, au chupi imevaa tako.?
Picha TafadhaliMimi mbona sivaagi pichu na niko fresh, hiyo hewa ni ipi hiyo
Unataka nani aniambie zaidi ya mimi na niliyenayeUko fresh ee, nan kakwambia
Wewe unacheza na jiji la uzumbura?kuna tanganyika beach pale rwagasore point.
Hongereni bhac lama ndio hivyoWewe unacheza jiji la uzumbura?kuna tanganyika beach pale rwagasore point.