Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Story ni tamu tena ni nzuri.
Ujumbe wake pia ni mzuri.
Umeiweka stori kikike kike imekataa[emoji23]

Nikirudi kwenye Mada: nguo special za dukani hakuna haja ya kuifua sababu inatoka moja kwa moja kiwandani. Lakini nguo za mtumba inabidi uifue tu hata kama ni tshirt unaweza kutoka vipele mwili mzima, fungus na majipu
Ameweka story kikike kike imegoma hatari sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwahiyo hujazaliwa na mama sio?
Tatizo lako wewe hujibu maswali yangu badala yake unakimbilia kuuliza pia maswali kabla ya kujibu.

Utaratibu mzuri huwa ni kujibu swali ndipo uulize.

Una uhakika nina mama?

Umewahi kumwona?
 
Tatizo lako wewe hujibu maswali yangu badala yake unakimbilia kuuliza pia maswali kabla ya kujibu.

Utaratibu mzuri huwa ni kujibu swali ndipo uulize.

Una uhakika nina mama?

Umewahi kumwona?
ndio nina uhakika kama hayupo labda ametangulia mbel ya haki
 
Walosema wewe ni wa kiume ila Unatumia ID ya kike wako sawa
Miss Natafuta ni mwanamke namfahamu, acheni kumsakama bana.
Uyu ni wa kiume,ila anatumia ID ya kike,tumuiteje kwa majina ya siku iz?

Wapo wengi humu kuna mtu kani black hash eti nimesemea wanaotafuta wachumba wakimwona Mshana jr. wataachana na wachumba wao, kaja na maneno siyo mazuri halafu akasema utawezaje kututag. Kama mnavyojua kuna id kama lizabon na motochini tunabishana ila siyo kwa uadui ni mitazamo tu, huyu kanijia juu wakati kaja na id tofauti nimeuuliza wewe una id ngapi? Siku zote nadhani motochini ni mwanamme na lizaboni sasa najibiwa na ke kwa maneno siyo mazuri nimeshangaa. Mimi ni KE tena dada yake na Mshana jr.(siyo damu ila karibia) ila mimi siyo mlozi mimi ni atheist. Ups huwa naenda kanisani saa nyingine vikishuka.

Kimbambi wa boss naona umekuja kivingine...!!!
Hehehehe hehee... Na umeumbuka KIBOYA kweli rafiki yangu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

 
Watu wameshindwa kulielewa bandiko lako, wanaona kama ni kitu cha ajabu mwanamke kumnunulia chupi mwanamke mwenzie, au wanawake kuonyeshana chupi, mimi sioni kama hiki ni kitu cha ajabu.
watoto wakikua watayaona mkuu! hawa hata kuoga na mtu wanaona shida
 
Hahaha wanaume mna tabu saaana ...... yaaani mnakesha pm kumbe unachati na dume mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona aliyeandika kama me ila avatar yake ni ya ke??[emoji15] [emoji15]
 
Duh kumbe hili la jinsia limezungumziwa,ngoja nikalale kwanza[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mhhh maofisini mnanunuliana chupi na kuonyeshana jmn...naona kuna walakini lohh au me mshamba?..
 
Back
Top Bottom