Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri mkuu hakutokea, ajieleze tu maana hamna namnaNilimtuma W/mkuu...
Aisee prezidaa aniombe msamaha waziri mkuu maana ndio demokrasia
Mko poa walimbwende ?
Ngoja niwape darasa kidogo
Kimsingi uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake pia ni fasheni ya mjini....nazungumzia gauni fupi,kimini au kikaptula(kichupi)...ila nazungumzia zaidi vimini na magauni mafupi......
1/Mazingira yanaruhusu?
Kabla hujavaa kimini au gauni fupi jiulize kwanza unaenda ofisini,sehemu ya ibada,starehe au kitaani tu au utapanda daladala?.....ukijiridhisha wewe jipigie tu kimini chako !!
2/Una miguu ?
Kuvaa tu kinguo kifupi wakati una miguu mibaya ni sawa na kujidhalilisha tu....km unajijua unatembelea mikono usivae vazi hili !!!
3/Kiatu kirefu ndio mwake
Ili utoke bomba na gauni fupi au kimini hakikisha unavaa kiatu kirefu , lakini kimini pia kinaweza kuvaliwa na flat shoes kikaeleweka....utaonekana wa kijanja !!!
4/Epuka kuinamainama
Ukivaa vazi fupi kamwe usitake kuinama unaweza kujikuta mali zako zinabaki nje.....Njia bora wakati unaokota/kuchukua kitu ni kuchuchumaa tu !!!
5/Kaa kwa staha
Wakati wa kukaa hakikisha unapishanisha miguu badala ya kuachanisha au kuitanua....utakaa uchi !!
6/Uvaaji wa kaptula fupi/kichupi
*huvaliwa chumbani au sehemu ya starehe
*Inapendeza ukivalia top au blauzi
*hakikisha miguu yako ipo soft
![]()
Mwanamitindo wa Uswaz
The Bitoz
Kuna sehemu nilikuwa natumbua majibu maana Yale hata kwa karatasi unayatumbua kabisaWaziri mkuu hakutokea, ajieleze tu maana hamna namna
Ngoja nimsubiriAtakuja....
Haaaa nilikuwa natoa mfano tu wa mguu hayo mengine wachana nayoMmmmh. Naomba kuuliza. Hiyo cheni mguuni inaitwaje?
Sasa nimekuelewa.Haaaa nilikuwa natoa mfano tu wa mguu hayo mengine wachana nayo
Hahahahahaha utetezi wako kiboko[emoji119]Kuna sehemu nilikuwa natumbua majibu maana Yale hata kwa karatasi unayatumbua kabisa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji106]Hahahahahaha utetezi wako kiboko[emoji119]