Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

f62528cfbe6704d1547357abcb5bb441.jpg
 
Kwanini uvae nguo fupi unamuonyesha nani?nguo fupi ni kujidhalilisha tu kwa watu wanaojiheshimu.mimi ninapomuona mwanamke kavaa skirt fupi nahisi ni biashara tu maana hakuna mantiki yoyote.

Kwani hapo zamani kabla wazungu hawajaingia wazee wetu walikuwa wanavaaje???
 
uwe unatembea na camera, kila unayemkuta na kimini chake unatuwekea humu... itakuwa full burudani
 
Kimini kaa mBali na Mimi maana mguu wangu naujua
 
Back
Top Bottom