tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Poleni n majukumu,
Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua imeingia ktkt y makalio,sas nauliza au kuna style y kuivaa jamani hii fasheni n mm niipatie?