Ndelyaukiwa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 267
- 347
Zaman ilikua unafunua chupi ndio uone makalio ila siku Hiz unafunua makalio ndio uone chupi. Kwel mabadiliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha yaan ninazo na nazpend ila matumiz sas haha maea nyingne navaa n jeans ...kwa usiku na support kbsa ila sas kulibandua huk kunako hahahaBikini inastiri sana ukivaa na dinner dress, kwakuwa haiweki ramani, tafuta inayokutosha tu. Kwakifupi sizipendi sana, lakini ninazo 2/3 zinavaliwa inapobidi.
HahahaNguo hutengenezwa kwa ajili ya mahali flani. Shati/Blausi ivaliwe juu yaani kifuani ndo mahala pake. Bikini, kuingia huko ndo utamu wake, yaani siye wenye mimacho mikubwa tufaidi. Unaichomoa huko kwa nini??
Bikini ikizamia ndo fashion. Utashangaa, binti kajivalia ka mini kake, kamebana inavyo stahili, sasa mwache atembee, mara anaishusha na kuivuta mpaka pindo lina furumuka upande, Huwa najiuliza; Huyu mwenzetu, alivalishwa?? Hakutokea chumbani mwake baada ya kujiangalia muda mrefu kwa kioo full??
Kama hujui kuivaa nguo flan, waachie wenyewe wala usijitie vidole mwenyewe. Unapofanya hivyo, unawatamanisha wengine kuwa, Laiti kidole chako kingekatika ukaniomba msaada wa kukusaidia kuichomoa humo. Pambaaaaf sana
Mimi wa kizazi cha Enzi ya mwalimu ninapenda pichu ijae mpaka kiunoni. Hizo bikini nikitoka dinner nikirudi tu ninavua.Hahaha yaan ninazo na nazpend ila matumiz sas haha maea nyingne navaa n jeans ...kwa usiku na support kbsa ila sas kulibandua huk kunako hahaha
Nimecheka kwa kweliHalafu unajua najuaga we mwanaume.
Siku nyingine naonaga we mwanamke, halafu siku nyingine nakuona wewe mwanaume.
Wewe ni mwanamke au mwanaume??
Sorry 4dhisi.
Tena ndiyo ninaona nimestirika.Hahahahahaha unapenda chup kama fuko o machine hahahaha mm labd nikiwa niko mwezin
Ukiona hivyo ujue umenunua fake. Original ni laini kabisa ukivaa unajisikia rakhaaaaaaaHahahahahahah katikati kinakwangua jamani hahaa
Ndio. Hivi huoni hata ukienda kununua chupi za kawaida kuna za shilingi 500, kuna buku, kuna buku mbili, buku tano. Unadhani zinafanana?? Vaa mchina uone utakavyochubukaHahahahahah jaman kuna bikini feki?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nikiwa room alafu manzi angu akivaa bikini uwa napenda bcoz anakua so attractivePoleni n majukumu,
Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua imeingia ktkt y makalio,sas nauliza au kuna style y kuivaa jamani hii fasheni n mm niipatie?