Uvaaji wa nguo ya ndani aina ya bikini

Uvaaji wa nguo ya ndani aina ya bikini

Zaman ilikua unafunua chupi ndio uone makalio ila siku Hiz unafunua makalio ndio uone chupi. Kwel mabadiliko
 
Bikini inastiri sana ukivaa na dinner dress, kwakuwa haiweki ramani, tafuta inayokutosha tu. Kwakifupi sizipendi sana, lakini ninazo 2/3 zinavaliwa inapobidi.
Hahaha yaan ninazo na nazpend ila matumiz sas haha maea nyingne navaa n jeans ...kwa usiku na support kbsa ila sas kulibandua huk kunako hahaha
 
Nguo hutengenezwa kwa ajili ya mahali flani. Shati/Blausi ivaliwe juu yaani kifuani ndo mahala pake. Bikini, kuingia huko ndo utamu wake, yaani siye wenye mimacho mikubwa tufaidi. Unaichomoa huko kwa nini??
Bikini ikizamia ndo fashion. Utashangaa, binti kajivalia ka mini kake, kamebana inavyo stahili, sasa mwache atembee, mara anaishusha na kuivuta mpaka pindo lina furumuka upande, Huwa najiuliza; Huyu mwenzetu, alivalishwa?? Hakutokea chumbani mwake baada ya kujiangalia muda mrefu kwa kioo full??
Kama hujui kuivaa nguo flan, waachie wenyewe wala usijitie vidole mwenyewe. Unapofanya hivyo, unawatamanisha wengine kuwa, Laiti kidole chako kingekatika ukaniomba msaada wa kukusaidia kuichomoa humo. Pambaaaaf sana
Hahaha
 
Hahaha yaan ninazo na nazpend ila matumiz sas haha maea nyingne navaa n jeans ...kwa usiku na support kbsa ila sas kulibandua huk kunako hahaha
Mimi wa kizazi cha Enzi ya mwalimu ninapenda pichu ijae mpaka kiunoni. Hizo bikini nikitoka dinner nikirudi tu ninavua.
 
1478631246402.png

1478631326524.png
1478631339579.png

1478631350280.png

1478631360592.png
 
Attachments

  • 1478631260485.png
    1478631260485.png
    6.8 KB · Views: 134
Mimi wa kizazi cha Enzi ya mwalimu ninapenda pichu ijae mpaka kiunoni. Hizo bikini nikitoka dinner nikirudi tu ninavua.
Hahahahahaha unapenda chup kama fuko o machine hahahaha mm labd nikiwa niko mwezin
 
Ukiona hivyo ujue umenunua fake. Original ni laini kabisa ukivaa unajisikia rakhaaaaaaa
Hahahahahah jaman kuna bikini feki?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahahahahah jaman kuna bikini feki?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio. Hivi huoni hata ukienda kununua chupi za kawaida kuna za shilingi 500, kuna buku, kuna buku mbili, buku tano. Unadhani zinafanana?? Vaa mchina uone utakavyochubuka
 
Poleni n majukumu,
Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua imeingia ktkt y makalio,sas nauliza au kuna style y kuivaa jamani hii fasheni n mm niipatie?
Nikiwa room alafu manzi angu akivaa bikini uwa napenda bcoz anakua so attractive
 
Ndio. Hivi huoni hata ukienda kununua chupi za kawaida kuna za shilingi 500, kuna buku, kuna buku mbili, buku tano. Unadhani zinafanana?? Vaa mchina uone utakavyochubuka
Hahaa mmh ngoja nichunguze
 
Back
Top Bottom