Nguo hutengenezwa kwa ajili ya mahali flani. Shati/Blausi ivaliwe juu yaani kifuani ndo mahala pake. Bikini, kuingia huko ndo utamu wake, yaani siye wenye mimacho mikubwa tufaidi. Unaichomoa huko kwa nini??
Bikini ikizamia ndo fashion. Utashangaa, binti kajivalia ka mini kake, kamebana inavyo stahili, sasa mwache atembee, mara anaishusha na kuivuta mpaka pindo lina furumuka upande, Huwa najiuliza; Huyu mwenzetu, alivalishwa?? Hakutokea chumbani mwake baada ya kujiangalia muda mrefu kwa kioo full??
Kama hujui kuivaa nguo flan, waachie wenyewe wala usijitie vidole mwenyewe. Unapofanya hivyo, unawatamanisha wengine kuwa, Laiti kidole chako kingekatika ukaniomba msaada wa kukusaidia kuichomoa humo. Pambaaaaf sana