johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu Mkuu wa UVCCM mh Jokate amesema Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa taifa letu
Ndio Sababu Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia Inawapenda, amesisitiza Boss huyo wa UVCCM
---
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amesema Maafisa usafirishaji (Madereva bodaboda) ni injini muhimu katika ukuaji wa uchumi wa Taifa la Tanzania ndio maana Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan inawapenda na kuwathamini.
Jokate ameyasema hayo July 30,2024 wakati akiongea na Madereva bodaboda hao Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la uzinduzi wa usajili wa Wanachama wa CCM kielektroniki kwa Madereva.
“Ndugu zangu Chama Cha Mapinduzi kinawapenda na kuwathamini sana Vijana, ninyi ni Watu muhimu katika shughuli zetu za kila siku, ninyi ni Mashahidi kulikuwa na kero kibao hata kuingia Mjini ilikuwa ngumu lakini Chama Cha Mapinduzi kwa kushirikiana na Serikali tumeweza kuondoa vikwazo vyote sasa mnafanya kazi zenu bila bughudha yoyote”
Source: Ayo tv
Baadae mlale Unono 😄😄