kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
Wanasababisha ajali,majeruhi na vifoKila siku wanakufa
Wanakatika miguu,mikono
Wanapasuka vichwa
Wanakimbizwa na maskari
Bodaboda roho mkononi
Unasema ni kazi ya maana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasababisha ajali,majeruhi na vifoKila siku wanakufa
Wanakatika miguu,mikono
Wanapasuka vichwa
Wanakimbizwa na maskari
Bodaboda roho mkononi
Unasema ni kazi ya maana
Ova
Ahmed Shabiby amerithiShabiby, Zuberi, Superfeo walivyokuwa na miaka 25 walikuwa na mabasi matano kila mtu, hawa bodabida kwa umri huo wa miaka 25 sidhani kama wanazo mbili kila mtu, sanasana wanamoja moja nazo ni za marejesho,