Shabiby, Zuberi, Superfeo walivyokuwa na miaka 25 walikuwa na mabasi matano kila mtu, hawa bodabida kwa umri huo wa miaka 25 sidhani kama wanazo mbili kila mtu, sanasana wanamoja moja nazo ni za marejesho,