Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa busara walisema , mtu akidanganya mara kwa mara bila uongo huo kukanushwa hadharani, wale wasioujua ukweli watadhani uongo huo ni ukweli.
Katika mchakato wa Katiba Mpya, wapinzani , hususan CHADEMA na CUF wameshikilia bango Rais kutoweka sahihi kwenye muswada mkakati wa mabadiliko ya katiba.
Wapinzani wanajisahau kuwa wana makelele mengi, lakini kuna watanzania waliowengi sana ambao hawaungi mkono vurugu zao.
Bungeni, wao wachache(kama watu 40 hivi) wakasusia majadiliano ya wengi(karibia wabunge280) kuhusu mkakati huo wa mabadiliko ya katiba.
Wazungu wanasema ni vyema ku-call a spade a spae, uVCCM na CCM inabidi wajipange na waanzishe maandamano ya kuunga mkono wabunge wao nchi nzima.
Ni vema wapinzani wakajua kuti walilolikalia!!
Hayo maandamano hayatawahusu, ila kama mtoa mada alivyosema, bora noma iwe noma!Kwa aina ya Ujinga uliofanyika Bungeni, kwa namba propaganga zinavyotumika kuondoa uhalisia, nadhani maandamano hayo yakiruhusiwa yaruhusiwe kwa hasara yenu na faida ya wazalendo
Wazee wa busara walisema , mtu akidanganya mara kwa mara bila uongo huo kukanushwa hadharani, wale wasioujua ukweli watadhani uongo huo ni ukweli.
Katika mchakato wa Katiba Mpya, wapinzani , hususan CHADEMA na CUF wameshikilia bango Rais kutoweka sahihi kwenye muswada mkakati wa mabadiliko ya katiba.
Wapinzani wanajisahau kuwa wana makelele mengi, lakini kuna watanzania waliowengi sana ambao hawaungi mkono vurugu zao.
Bungeni, wao wachache(kama watu 40 hivi) wakasusia majadiliano ya wengi(karibia wabunge280) kuhusu mkakati huo wa mabadiliko ya katiba.
Wazungu wanasema ni vyema ku-call a spade a spae, uVCCM na CCM inabidi wajipange na waanzishe maandamano ya kuunga mkono wabunge wao nchi nzima.
Ni vema wapinzani wakajua kuti walilolikalia!![/QUOTE
]
kipofu
Kwli hii inaonesha ni jinsi gani ccm hili swala la katiba wanataka kulibabaisha! Nyie fanyeni hayo maandamano tuone kama kuna watz watawaunga mkono! Mtakua nyie wenyewe na watu wenu wa kukusanya na magari