UVCCM Chato, kauli mlizotoa kwa Lissu zinaweza kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini

Mambo ya kijinga huwa yanaanza hivi hivi kiutani.

Kilichofanyika Chato na UVCCM kwa mtu asiyeona mbali, utafikiri ndio siasa zenyewe lakini mambo yanaweza kulipuka beyond control.

Siasa za vyama vingi zipo kisheria na sasa ni sehemu ya katiba yetu inayotawala.

Matamshi tuliyosikia kutoka Geita, eti kiongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu asikanyage Chato, ikifuatiwa na kuchoma moto gari la CHADEMA, lina hatarisha amani na siasa za Tanzania.

Hili haliashirii siasa za kistaarabu nchini. Rwanda mambo yalianza hivi hivi kwa chuki kuanza kutawala badala ya sera na ilani za chama husika.

CCM Taifa inabidi ilikemee hili na wahusika wachukuliwe hatua. Kutamka chuki na kuchoma magari moto haviwezi kuwa sera za CCM.

Pia soma: UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote
Wanefuata ushauri wa Wasira
 
Binafsi si CCM wala CHADEMA ila Lissu naye ana matatizo sana hakuna mtu asiyejua namna Lissu alivyomchukia Magufuri, kisha anazungumza hadharani kuwa hakuwa na mpango wa kwenda kumuombea Magufuri ila ameamua kwenda Chato kwenye Kaburi lake akamuamshe na kumwambia aangalie Nchi inavyoliwa!!!!!!! Huu ni utahaira uliopitiza.Kwa hiyo ukikutana na watu wenye mawazo mabavu wanafanya walichofanya, ingawa siungi mkono tukio hilo.
Kweli wewe sio mwanasiasa.
Kauli za kisiasa hujibiwa kisiasa.

Kwani alipanga njama zozote za kudhuru?
Amevunja sheria?

Kwanini nchi hii watu wsna akili ndogo kiasi hiki?????
 
Mkumbuke kumkumbusha Lissu juu ya umuhimu wa kufikiria kabla hajatenda chochote.

Alimtukana Nyerere ndani ya bunge la katiba. Alimtukana JPM akiwa kiongozi mkuu wa nchi miaka ile.

Amemtukana SSH majuzi baada ya kumjulia hali hospitali mwaka ule alipopatwa na matatizo, pamoja na kuhakikisha anamlipa pesa yote aliyokuwa anaidai serikali kuu, pamoja na kumhakikishia usalama wake akirudi nyumbani TZ.

Kabla hujanyooshea vidole hao watu wa umoja wa vijana wa CCM kumbuka pia kumnyooshea vidole huyo Lissu.

Kwenda kaburini alipozikwa JPM wakati uliwahi kumtusi akiwa rais ni kumkejeli hayati, japokuwa inaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya msamaha.
Kwa matusi siungani n Lissu hata kidogo.
Kwanza aliwahi kumtusi hata Mwalimu Nyerere.
Lakini tusiiharibu nchi kwa watu wajinga wajinga kama Lissu.

Kuna mtu aliwahi kusema, ukianza kumfukuza kichaa barabarani watu wasiokujua watahisi nyote ni vichaa mko mazoezini!!
 
Kweli wewe sio mwanasiasa.
Kauli za kisiasa hujibiwa kisiasa.

Kwani alipanga njama zozote za kudhuru?
Amevunja sheria?

Kwanini nchi hii watu wsna akili ndogo kiasi hiki?????
Nyie mnayejua siasa, matokeo yake ndyo hayo
 
Binafsi si CCM wala CHADEMA ila Lissu naye ana matatizo sana hakuna mtu asiyejua namna Lissu alivyomchukia Magufuri, kisha anazungumza hadharani kuwa hakuwa na mpango wa kwenda kumuombea Magufuri ila ameamua kwenda Chato kwenye Kaburi lake akamuamshe na kumwambia aangalie Nchi inavyoliwa!!!!!!! Huu ni utahaira uliopitiza.Kwa hiyo ukikutana na watu wenye mawazo mabavu wanafanya walichofanya, ingawa siungi mkono tukio hilo.
Chief unakosea sana siasa haipo hivyo mzee hakunaga uwadui wa kudumu kwenye siasa
 
Hivi kwa nini mnakuwa wabinafsi ? Na hapo ndio mnapo onekana kiwa mna matatizo na nyi kwa sababu hamuongelei alicho fanyiwa lisu na magufuli hicho hamkisemi..?

Lisu anaongea maneno tuu lakini magufuli kamtia mwenzie ulemavu wa mwili , inamana hilo hamulioni? Au ni sahihi kwa magufuli kuumiza na kuua ila si sahihi yeye kusemwa! Acheni ubinafsi nanmsiwe na double standard sisi sote ni binadamu
Kwa taarifa yako sasa mpaka sasa hivi Lissu hajui nani alimchapa zile risasi akaamua tuu kulishia mzigo Serikali, sasa hivi yupo makini sana. Serikali ikikutaka haishindwi.
 
Binafsi si CCM wala CHADEMA ila Lissu naye ana matatizo sana hakuna mtu asiyejua namna Lissu alivyomchukia Magufuri, kisha anazungumza hadharani kuwa hakuwa na mpango wa kwenda kumuombea Magufuri ila ameamua kwenda Chato kwenye Kaburi lake akamuamshe na kumwambia aangalie Nchi inavyoliwa!!!!!!! Huu ni utahaira uliopitiza.Kwa hiyo ukikutana na watu wenye mawazo mabavu wanafanya walichofanya, ingawa siungi mkono tukio hilo.
Tundu Lissu HOVYO sana....
 
Wewe, Wassira, Waitara akili yenu ni moja. UVCCM hawana hatimiliki ya Chato, hawana mamlaka ya kuzuia au kuruhusu nani aende Chato au nani asiende, ni akili za kitaahira tu kama zako, Wasira na Waitara.
 
Mhusika mkuu ni Wassira hawezi kukwepa lawama
 
Binafsi si CCM wala CHADEMA ila Lissu naye ana matatizo sana hakuna mtu asiyejua namna Lissu alivyomchukia Magufuri, kisha anazungumza hadharani kuwa hakuwa na mpango wa kwenda kumuombea Magufuri ila ameamua kwenda Chato kwenye Kaburi lake akamuamshe na kumwambia aangalie Nchi inavyoliwa!!!!!!! Huu ni utahaira uliopitiza.Kwa hiyo ukikutana na watu wenye mawazo mabavu wanafanya walichofanya, ingawa siungi mkono tukio hilo.
Futa kauli, Hakumchukia ila alimuelekeza namna nchi inaweza kupata hasara Kwa kuvunjwa mikataba kiholela !! Taifa linaweza kuangamia Kwenye madeni, Kwani huoni Sasa yanayotokea!?? akina Mruma wanavyoiangamiza nchi Kwa Kushindwa kutetea walichokuwa wanamdanganya mh Magufuli, Bora ametangulia mbele ya haki kuliko angekuja kuaibika kiasi hiki Kwa kuona madudu ya kina Mruma!! Tundulisu alitumwa na Mungu kumpa tahadhari, Sikio la kufa halisikii dawa
 
Binafsi si CCM wala CHADEMA ila Lissu naye ana matatizo sana hakuna mtu asiyejua namna Lissu alivyomchukia Magufuri, kisha anazungumza hadharani kuwa hakuwa na mpango wa kwenda kumuombea Magufuri ila ameamua kwenda Chato kwenye Kaburi lake akamuamshe na kumwambia aangalie Nchi inavyoliwa!!!!!!! Huu ni utahaira uliopitiza.Kwa hiyo ukikutana na watu wenye mawazo mabavu wanafanya walichofanya, ingawa siungi mkono tukio hilo.
Vaa viatu vya Lisu, upigwe risasi, uchunguzi usifanyike,unyimwe gharama za matibabu,ufukuzwe ubunge na haki zako zote zifutwe, watu/ jamaa zako wazuiwe kukuchangia gharama za matibabu na wazuiwe hata kufanya maombi ya kukuombea, na nchi Ina Rais, anayaona yote hayo na amenyamaza kimya.
Halafu urudi useme unampenda kwa kuwa wengine wanapenda.
Kuweni serious jamani.
 
Back
Top Bottom