UVCCM Chato, kauli mlizotoa kwa Lissu zinaweza kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini

Wanefuata ushauri wa Wasira
 
Kweli wewe sio mwanasiasa.
Kauli za kisiasa hujibiwa kisiasa.

Kwani alipanga njama zozote za kudhuru?
Amevunja sheria?

Kwanini nchi hii watu wsna akili ndogo kiasi hiki?????
 
Kwa matusi siungani n Lissu hata kidogo.
Kwanza aliwahi kumtusi hata Mwalimu Nyerere.
Lakini tusiiharibu nchi kwa watu wajinga wajinga kama Lissu.

Kuna mtu aliwahi kusema, ukianza kumfukuza kichaa barabarani watu wasiokujua watahisi nyote ni vichaa mko mazoezini!!
 
Kweli wewe sio mwanasiasa.
Kauli za kisiasa hujibiwa kisiasa.

Kwani alipanga njama zozote za kudhuru?
Amevunja sheria?

Kwanini nchi hii watu wsna akili ndogo kiasi hiki?????
Nyie mnayejua siasa, matokeo yake ndyo hayo
 
Chief unakosea sana siasa haipo hivyo mzee hakunaga uwadui wa kudumu kwenye siasa
 
Kwa taarifa yako sasa mpaka sasa hivi Lissu hajui nani alimchapa zile risasi akaamua tuu kulishia mzigo Serikali, sasa hivi yupo makini sana. Serikali ikikutaka haishindwi.
 
Tundu Lissu HOVYO sana....
 
Wewe, Wassira, Waitara akili yenu ni moja. UVCCM hawana hatimiliki ya Chato, hawana mamlaka ya kuzuia au kuruhusu nani aende Chato au nani asiende, ni akili za kitaahira tu kama zako, Wasira na Waitara.
 
Mhusika mkuu ni Wassira hawezi kukwepa lawama
 
Futa kauli, Hakumchukia ila alimuelekeza namna nchi inaweza kupata hasara Kwa kuvunjwa mikataba kiholela !! Taifa linaweza kuangamia Kwenye madeni, Kwani huoni Sasa yanayotokea!?? akina Mruma wanavyoiangamiza nchi Kwa Kushindwa kutetea walichokuwa wanamdanganya mh Magufuli, Bora ametangulia mbele ya haki kuliko angekuja kuaibika kiasi hiki Kwa kuona madudu ya kina Mruma!! Tundulisu alitumwa na Mungu kumpa tahadhari, Sikio la kufa halisikii dawa
 
Vaa viatu vya Lisu, upigwe risasi, uchunguzi usifanyike,unyimwe gharama za matibabu,ufukuzwe ubunge na haki zako zote zifutwe, watu/ jamaa zako wazuiwe kukuchangia gharama za matibabu na wazuiwe hata kufanya maombi ya kukuombea, na nchi Ina Rais, anayaona yote hayo na amenyamaza kimya.
Halafu urudi useme unampenda kwa kuwa wengine wanapenda.
Kuweni serious jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…