The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Binafsi mi naamini siasa za Africa ni udini Ukanda/ukabila, vitisho na rushwa.
Hakuna kingine, mnachokiona hapo ndo Hali halisi ya siasa zetu za TZ. Kwa akili hizi hatuwezi kupiga hatua.
Swali Hakuna wala nguruuwe
Wangefaa japo Hata nafasi tatú tu Hapo?.
Most of Tanzania politicians ni vilaza fuatilieni elimu Zao wengi wame unga unga.
Hata hizi changamoto tunazohangaika nazo ni kukosa thinking Big leaders.