UVCCM Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho na viongozi wao na badala yake kuwataka wajikitike kwenye sera za kujenga vyama vyao na taifa kwa ujumla.

Kanuni ya UVCCM ndiyo inasema kwamba sisi kama vijana kazi yetu ni kwenda kuwa walinzi kwa viongozi wetu na kuwatetea viongozi wetu hususani katika kipindi hichi ambacho wahuni wachache wanatengeneza mazingira ya kumvuta shati mwenyekiti wetu.

Aidha wamesema hawatokubali Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu na mwenyekiti wa CCM Taifa haweze kuvutwa shati na kurudishwa nyuma halafu apate kazi na mtihani wa kufanya ya kukamilisha majukumu yake ya Rais.

Soma Pia: UVCCM Dodoma Walaani Vikali Mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA, wautaka umma kukemea Vitendo hivyo bila kuchoka

Yule wa Bukoba amesikia?
 
Back
Top Bottom