PreGE2025 UVCCM Dodoma wataka BAKWATA na TEC kuwachukulia hatua Viongozi wa Dini wanaoeneza propaganda za kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa .

Wito huo umetolewa leo Jumatatu Juni 2,2025 na Mwenyekiti wa Umoja huo Abdulhabib Mwanyemba wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dodoma.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanyemba amesema kama Viongozi hao watakaa kimya iwapo ukatokea upotoshaji unaoweza kuhatarisha amani kwa Taifa hivyo ni vyema kutowafumbia macho masuala hayo.

Shida ya nyinyi uvccm ni shule tu na pia kuamua kuzihifadhi akili zenu tumboni, badala ya kichwani. Kiufupi hiki mlichokiandika hapo juu ni uharo.
 
TEC kwani SI ndio kiongozi wake kashambuliwa na mshambuliaji hajulikani,?
 
Hapo bila kupepesa maneno, wataopokea hayo maagizo ni BAKWATA, au nasema uongo?
 
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa .

Wito huo umetolewa leo Jumatatu Juni 2,2025 na Mwenyekiti wa Umoja huo Abdulhabib Mwanyemba wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dodoma.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanyemba amesema kama Viongozi hao watakaa kimya iwapo ukatokea upotoshaji unaoweza kuhatarisha amani kwa Taifa hivyo ni vyema kutowafumbia macho masuala hayo.
Waanze na wale wanaoitisha national prayer kumuombea Chawa Kiziwi.
 
Mdomo ukitukana, makalio yasiadhibiwe..
Mwisho wa kunukuu..🤣
 
Back
Top Bottom