Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi.
Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Costantine Kanyasu akiwa katika kata ya Ihanamilo wakati alipokuwa akigawa Kompyuta 5 zenye thamani ya Shilingi Milioni 10 huku akilalamika kuwepo kwa wimbi la wananchi ambao wamekuwa hawatoi pongezi kwa kazi anazozifanya badala yake wananchi wanampongeza Mh Rais.
Pia, Soma