Sahihi kabisa jamaa huwa wanajifanya wasukuma au wahaya na wamejaa sana Ngara na Geita, na huwa wanajua sana kuwateka watanzania akili hadi wanaingizwa chamani(CHAMA CHA MAJAMBAZI)
Halafu kuwashtukia hawa jamaa kuwa wapo hapa nchini kimikakati ni rahisi sana, kwanza siku zote chama cha siasa wanachoingia ni hicho hicho tu...
Kama kweli wao wanapenda siasa za Tanzania kwanin hatuwaoni kwenye vyama vingine vya siasa tofauti na CCM???
Na pia kwanin most of times wakiingia tu huko UVCCM wanautafuta uongozi na kujifanya wana uchungu sana na chama?
TISS na JWTZ wameshadanyika na hii questionable ethinic diversity ya Tanzania, kwamba eti hawa nao ni wenzetu.. ndio maana wamelala na hawana habari wanachojua wao ni kulewa tu na kuwalinda wanasiasa.