Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi.
Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Costantine Kanyasu akiwa katika kata ya Ihanamilo wakati alipokuwa akigawa Kompyuta 5 zenye thamani ya Shilingi Milioni 10 huku akilalamika kuwepo kwa wimbi la wananchi ambao wamekuwa hawatoi pongezi kwa kazi anazozifanya badala yake wananchi wanampongeza Mh Rais.
Sasa mbunge, tena anayegawa kompyuta 5 karibia uchaguzi, anataka tumuimbe kuzidi masta wake ambaye hata akiamua anaweza kukata jina lake hata akiwa amepata kura nyingi za kuwakilisha chama jimboni kwake?
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi.
Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Costantine Kanyasu akiwa katika kata ya Ihanamilo wakati alipokuwa akigawa Kompyuta 5 zenye thamani ya Shilingi Milioni 10 huku akilalamika kuwepo kwa wimbi la wananchi ambao wamekuwa hawatoi pongezi kwa kazi anazozifanya badala yake wananchi wanampongeza Mh Rais.
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi.
Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Costantine Kanyasu akiwa katika kata ya Ihanamilo wakati alipokuwa akigawa Kompyuta 5 zenye thamani ya Shilingi Milioni 10 huku akilalamika kuwepo kwa wimbi la wananchi ambao wamekuwa hawatoi pongezi kwa kazi anazozifanya badala yake wananchi wanampongeza Mh Rais.
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi.
Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Costantine Kanyasu akiwa katika kata ya Ihanamilo wakati alipokuwa akigawa Kompyuta 5 zenye thamani ya Shilingi Milioni 10 huku akilalamika kuwepo kwa wimbi la wananchi ambao wamekuwa hawatoi pongezi kwa kazi anazozifanya badala yake wananchi wanampongeza Mh Rais.
Ndo wenyewe hao. Kichaka chao cha kuingia kwenye mifumo ya nchi ndo huko UVCCM.
Wanaingilia Ngara pale wanasogea hadi Geita wanajifunza kisukuma alafu wanajiita wasukuma.
Huyo hapo anajifanya anaongea kwa uchungu na ana uchungu na CCM kuliko hata mama yake. Siku si nyingi unamkuta TISS
Mkakati wao ni ule ule kushika sekta nyeti na baadae nafasi za juu za maamuzi za Tanzania.
Hii nchi ishakuwa fucked up! Hayo yote yanafanyika huku JWTZ wakijenga Bar na kumbi za starehe kwenye kambi zao huku TISS wakishindana kujipendekeza kwa Rais na CCM ili matumbo yao yashibe.

Sahihi kabisa jamaa huwa wanajifanya wasukuma au wahaya na wamejaa sana Ngara na Geita, na huwa wanajua sana kuwateka watanzania akili hadi wanaingizwa chamani(CHAMA CHA MAJAMBAZI)
Halafu kuwashtukia hawa jamaa kuwa wapo hapa nchini kimikakati ni rahisi sana, kwanza siku zote chama cha siasa wanachoingia ni hicho hicho tu...
Kama kweli wao wanapenda siasa za Tanzania kwanin hatuwaoni kwenye vyama vingine vya siasa tofauti na CCM???
Na pia kwanin most of times wakiingia tu huko UVCCM wanautafuta uongozi na kujifanya wana uchungu sana na chama?
TISS na JWTZ wameshadanyika na hii questionable ethinic diversity ya Tanzania, kwamba eti hawa nao ni wenzetu.. ndio maana wamelala na hawana habari wanachojua wao ni kulewa tu na kuwalinda wanasiasa.