Ndugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani.
Yaani ile UVCCM ya akina Nape, Makonda, Hapi na baadae akina Kheri James siioni tena. UVCCM imekufa imepotea kabisa.
Je, tatizo imekosa ufadhili?
Je, UVCCM imeitelekeza serikali au serikali ndio imeitelekeza Uvccm?
Naona CCM haina future kabisa.