UVCCM ipo hai? Mimi naona kama imeshakufa

UVCCM ipo hai? Mimi naona kama imeshakufa

Tulia wewe saizi Chama kipo katika michakato ya uchaguzi wa ndani wa chama, Subiri uchaguzi upite utaona Moto wake utakao washwa nchini kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama, Ila nafurahi na kufarijika napoona watu na watanzania wengi namna Matumaini na Imani yao ilivyowekwa ndani ya CCM na jumuiya zake,

Hakika CCM Ni chama kiongozi, Ni tumaini la wanyonge na waliokata tamaa, Ndio maana kila mtu anaingalia CCM kwa jicho la matumaini, mtu akifika katika ofisi ya CCM anakuwa na uhakika na matumaini ya kupata suluhu ya kero yake,

Serikali ya CCM ipo kazini, viongozi wa CCm wapo kazini na mh Mama yetu yupo kazini muda wote kutoa majibu na suluhisho kwa wanyonge,kazi iendelee
Aisee! sasa kama ni tumaini la wanyonge hao wanyonge walinyongwa na nani wakati ndio wamekuwa madarakani miaka yote!
 
Nguvu ya Mamba iko kumaji. Twende na tozo zitatuvusha[emoji28]
Chama Cha Mapinduzi kipo Imara, na UVCCM KWASASA ndio ipo moto sana Chini ya Katibu Mkuu Wa UVCCM Ndugu Kenani Kihongosi anafanya kazi kubwa sana na ninyi mnaiona na mnamkubali kiaina
 
Ndugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani.

Yaani ile UVCCM ya akina Nape, Makonda, Hapi na baadae akina Kheri James siioni tena. UVCCM imekufa imepotea kabisa.

Je, tatizo imekosa ufadhili?
Je, UVCCM imeitelekeza serikali au serikali ndio imeitelekeza Uvccm?

Naona CCM haina future kabisa.
UVCCM ipo hai tena Imara, Katibu Mkuu ndugu Kenani Kihongosi anaupiga Mwingi Mno
 
Vijana Makini wa UVCCM wapo na niwachakarikaji haijawahi tokea shida ni hawa wapinga kila jambo la maendeleo wanalivuta nyuma shati la kijani ya maendeleo
 
UVCCM ya wakati huu ipo Imara sana chini ya Katibu Mkuu Kenani Kihongosi. Mpaka sasa ni jumuia pekee ya vijana katika vyama vya siasa Afrika inayongoza kwa Mikakati na Kuisimamia ilani ya Uchaguzi ya CCM. Imevuka viwango vya Kimataifa. Inasimamiwa ns vijana makini ws kimkakati. UVCCM hii si ile ya kwenye Ma tv na waandishi wa Habari. Ni UBCCM inayoenda na falsafa ya Kimapinduzi na Itikadi ya Ujamaa. UVCCM ni Jumuiya inayoheshimisha Nchi.

KWA SASA VIJANA WA CCM NI JEURI YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Sent from my SM-G980F using JamiiForums mobile app
 
Wako wapi mbona hatuwaoni?
 
Msemaji wa CHADEMA yupo? Au bado huko CHADEMA kila mtu ni msemaji hasa mitandaoni?
 
Back
Top Bottom