Imemezwa na Shaka kwani kazi zao anazifanya yyNdugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gani?
Zamani ilikuwa jambo la kawaida UVCCM ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani.
Yaani ile uvccm ya akina Nape, Makonda, Hapi na baadae akina Kheri James siioni tena. UVCCM imekufa imepotea kabisa.
Je, tatizo imekosa ufadhili?
Je, UVCCM imeitelekeza serikali au Serikali ndio imeitelekeza Uvccm?
Naona CCM haina future kabisa.
Kazi kubwa ya UVCCM ni kupiga mizinga matajiriNdugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoan...
Kwa kifupi Taasisi za vijana kwenye vyama vya siasa zimekufaKwani johnthebaptist naye anasemaje? Maana huyu ni UVCCM wa heshima, huku akipata msaada wa karibubwa mawazo kutoka kwa Mzee wake Mgaya.
Jibu swali! Uvccm bado ipo hai, au imeshakufa?Mada zingine ni za kijinga tu. Sasa nn hiki?
Sijui imekuwaje au matajiri wamefiliskaKazi kubwa ya UVCCM ni kupiga mizinga matajiri
Akikujibu nitag😅😅Jibu swali! Uvccm bado ipo hai, au imeshakufa?
😅😅😅😅unasemaUVCCM ishakufa mbadala wake kuna POLICCM
Uvccm hata katibu wake hajulikaniWamevimbiwa KWA asali wanazolamba!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"!
Ccm imebaki kuwa tumaini la majiziTulia wewe saizi Chama kipo katika michakato ya uchaguzi wa ndani wa chama, Subiri uchaguzi upite utaona Moto wake utakao washwa nchini kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama, Ila nafurahi na kufarijika napoona watu na watanzania wengi namna Matumaini na Imani yao ilivyowekwa ndani ya CCM na jumuiya zake,
Hakika CCM Ni chama kiongozi, Ni tumaini la wanyonge na waliokata tamaa, Ndio maana kila mtu anaingalia CCM kwa jicho la matumaini, mtu akifika katika ofisi ya CCM anakuwa na uhakika na matumaini ya kupata suluhu ya kero yake,
Serikali ya CCM ipo kazini, viongozi wa CCm wapo kazini na mh Mama yetu yupo kazini muda wote kutoa majibu na suluhisho kwa wanyonge,kazi iendelee
Sio ndugu yako katika Imani?Uvccm umeuwawa na yule wa sindano za sumu badala ya kumchoma Tundu Lissu kaichoma hiyo Jumuiya. yafuye.