UVCCM ipo hai? Mimi naona kama imeshakufa

Aisee! sasa kama ni tumaini la wanyonge hao wanyonge walinyongwa na nani wakati ndio wamekuwa madarakani miaka yote!
 
Nguvu ya Mamba iko kumaji. Twende na tozo zitatuvusha[emoji28]
Chama Cha Mapinduzi kipo Imara, na UVCCM KWASASA ndio ipo moto sana Chini ya Katibu Mkuu Wa UVCCM Ndugu Kenani Kihongosi anafanya kazi kubwa sana na ninyi mnaiona na mnamkubali kiaina
 
UVCCM ipo hai tena Imara, Katibu Mkuu ndugu Kenani Kihongosi anaupiga Mwingi Mno
 
Vijana Makini wa UVCCM wapo na niwachakarikaji haijawahi tokea shida ni hawa wapinga kila jambo la maendeleo wanalivuta nyuma shati la kijani ya maendeleo
 
UVCCM ya wakati huu ipo Imara sana chini ya Katibu Mkuu Kenani Kihongosi. Mpaka sasa ni jumuia pekee ya vijana katika vyama vya siasa Afrika inayongoza kwa Mikakati na Kuisimamia ilani ya Uchaguzi ya CCM. Imevuka viwango vya Kimataifa. Inasimamiwa ns vijana makini ws kimkakati. UVCCM hii si ile ya kwenye Ma tv na waandishi wa Habari. Ni UBCCM inayoenda na falsafa ya Kimapinduzi na Itikadi ya Ujamaa. UVCCM ni Jumuiya inayoheshimisha Nchi.

KWA SASA VIJANA WA CCM NI JEURI YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Sent from my SM-G980F using JamiiForums mobile app
 
Wako wapi mbona hatuwaoni?
 
Msemaji wa CHADEMA yupo? Au bado huko CHADEMA kila mtu ni msemaji hasa mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…