UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo

Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru

Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria

 

Okay sawa.

Isipokuwa ifahamike tu kwamba EU huwa hawana masihara kwenye mambo yao. Hata vikwazo vilivyowekwa kwa Mugabe na Zimbabwe, mchakato mzima wa kuweka Vikwazo hivyo ulianza Kama hivi hivi wanachofanya kwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…