PreGE2025 UVCCM kuandaa Kongamano Kuu kueleza Mafanikio ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya uongozi wake .

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na wanahabari Mjini Morogoro, Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Emanuel Martine amesema katika kongamano hilo litafanyika Machi 19 mwaka huu mawaziri wa sekta mbalimbali wamealikwa ambao wataeleza namna gani serikali imetekeleza kupitia ilani na vipaumbele kwa vijana na jamii kwa ujumla.
 
well done CCM youths league 💪👊
 
Huyu mama ata burst Kwa upepo wa sofa wanazompulizia!
Relax and calm down gentleman,

waache very determined, focused and vibrant CCM youths league wing wafanye makongamano mengi iwezekanavyo kuulezea umma wa waTanzania mambo makubwa sana na ya maana mno aloyafanya Rais na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi tu tangu ashike usukani wa kuongoza Taifa letu 🐒
 
Watu kila siku wanataka kuuana kisa kugombania Mwendokasi, wanatokea watu ambao baada ya kuandaa kongamano la kueleza kero zinazowakabili wananchi wanakuja kupongeza.

CHAWA mtu mbaya sana.
 
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya uongozi wake .

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na wanahabari Mjini Morogoro, Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Emanuel Martine amesema katika kongamano hilo litafanyika Machi 19 mwaka huu mawaziri wa sekta mbalimbali wamealikwa ambao wataeleza namna gani serikali imetekeleza kupitia ilani na vipaumbele kwa vijana na jamii kwa ujumla.
Mafanikio hayaelezwi kwa KONGAMANO ! Tusiwe Wajinga Kiasi hiki
 
Back
Top Bottom