Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
well done CCM youths league πͺπUmoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya uongozi wake .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na wanahabari Mjini Morogoro, Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Emanuel Martine amesema katika kongamano hilo litafanyika Machi 19 mwaka huu mawaziri wa sekta mbalimbali wamealikwa ambao wataeleza namna gani serikali imetekeleza kupitia ilani na vipaumbele kwa vijana na jamii kwa ujumla.
Huyu mama ata burst Kwa upepo wa sofa wanazompulizia!well done CCM youths league πͺπ
Relax and calm down gentleman,Huyu mama ata burst Kwa upepo wa sofa wanazompulizia!
Mafanikio hayaelezwi kwa KONGAMANO ! Tusiwe Wajinga Kiasi hikiUmoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya uongozi wake .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na wanahabari Mjini Morogoro, Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Emanuel Martine amesema katika kongamano hilo litafanyika Machi 19 mwaka huu mawaziri wa sekta mbalimbali wamealikwa ambao wataeleza namna gani serikali imetekeleza kupitia ilani na vipaumbele kwa vijana na jamii kwa ujumla.
Seems ameshanasaIla ccm tunajua kuloga watu sana!
Huyu mama naona wanamloga makusudi kabisa mjue!ukiona ccm wanakusifia sana ujue wanakutega ukinasa unalo!